Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
‪Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo‬

‪Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa‬

20200503_185905.jpg


UPDATE: 04-05-2020

MSD.jpg

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Laurean Rugambwa akimkabidhi ofisi Mkurugenzi Mkuu Mpya Brig. Jen Dkt. Sauli Mhidize
 
Aende akakague hizi barakoa zinazotoka kwa ndugu zetu wa China ambazo zinatuletea maambukizi. Yaani wachina niliwaachia milango wazi na nikaapa ni ndugu zetu wa kufa kufaana, leo wanatuletea virusi?

Alisikika mlevi mmoja baada ya kunywa chupa kadhaa za Madagascar Lager.
 
Sisikii wale walioaminishaga Bunge wao ndo wamesoma sana ama wako gifted kula keki ya Taifa wakiteuliwa ama hawa wanaoteuliwa hawana elimu.ila muda huu wamemchukiaje mfalme daudi. Dili za kijanja janja ,kukwepa ushuru na kubebana ofisini kwa kupeana kazi kisa mmetokea nchi mmoja na si kwa vigezo vya nafasi.

Kuwabania wafanyabiashara wasiagize Mizigo nje ila Wa nchini kwao akija na Mizigo ushuru mdogo bandarini ama hakuna kulia kabisa.sasa leta mzigo wewe MTU Wa mataifa utapigwa ushuru huo mpaka utakatika mtaji ili Wa kwao aonekane mjanja.
From hapa Igoma Severin Bar.

Nimekaa mbali sana na wengine jamani Napata koka.
Take care coron virus
Sio kila homa ni corona.

Jamani badilisheni barakoa unakuta chafu adi kero.
Usisalimiane kwa kushikana mikono.
Ukifika home NASA mikono kabla ya kushika mlango ambapo watt wanapashika
 
Contrary to public opinion, Mimi sioni tatizo Sana serikali yetu kuwatumia wanajeshi katika kukabiliana na kutatua changamoto zetu. Sababu zangu ni:

1) wanajeshi pia ni raia wa nchi yetu
2)tunatumia gharama kubwa kuwatrain na kuwatunza
3) Nchi imekaa muda mrefu bila kuwa utilize fully apart from 1978 na kuwatuma AU au UN missions.

4)most of them wako disciplined na wamefunzwa uzalendo.
5) wengi wao wanaperekwa sehemu ambazo zinachangamoto za kiusalama kama vile mipakani,vyombo vya ulinzi na usalama na sehemu nyingine nyeti ambazo kwakweli zinahitajika kuangaliwa Kwa jicho la usalama zaidi manake any compromise inaweza leta maafa makubwa kwa wananchi na Taifa Kwa ujumla.MSD ni mojawapo.
 
‪Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo‬

‪Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa‬

View attachment 1438924
Kabla ya kumtimua mkurugenzi ni vizuri sasa serikali ikalipa madeni yote ya MSD serikali inayodaiwa, serikali mnapoacha kulipa madeni MSD sisi wananchi ndio tunaoumia mjue
 
Ummy Mwalimu is next.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda uliobaki ni mchache mno, ila Mh. Ummy ali relax mno, maana maadui wangeweza hata kumuambukiza rais wetu COVID kwa sababu ya kukosa umakini kwa wizara husika. Maana haiingii akilini ugonjwa uanze kuua China Dec then sisi hata maandalizi hatuna, yaani hata vifaa tiba hatuna then waziri upo upo tu (nasikia wizara ya afya wamejaa majungu,.

wanamchukia sana rais kwa sababu kabana mianya yote ya rushwa na matumizi ya ovyo ambayo baadhi ya watu walikua miungu watu). Hivyo Mh. Ummy alipaswa asafishe nyumba yake haraka sana kabla ya janga ili kuwaondolea hofu watanzania lakini yeye alijikita kutangaza vifo tu.
 
Maswali yangu ni:

Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?

Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?

Hatuna maabara? Kuna maabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?

Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?

Hatuamini mfumo wa elimu zetu?

Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani uko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?
 
Back
Top Bottom