Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika...
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:
Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake.
1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine...
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia anasikitika kutangaza kifo cha makamu mwenyekiti mstaafu Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan kilichotokea siku ya...
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wametembelea mpaka wa Tanzania na Msumbiji kwa lengo la kuhakikisha mpaka huo na wananchi wa maeneo hayo wako salama, hatua hiyo imekuja baada ya kusemekana...
Hakuna ubishi Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.
Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka...
Ndugu zangu bado tupo katika majonzi makubwa kama taifa ya kumpoteza kiongozi mkuu.
Yote juu ya yote Mungu atatusimamia nalo litapita.
Nachotaka kusema hapa ni huu utaratibu wa katiba kumtambua...
Habari Tanzania!
Naomba kushiriki nanyi mawazo mapana na mtazamo usio kikomo. Katika uongozi wa awamu ya tano (5) nimegundua mambo makuu yafuatayo;
1. Nchi hii wapinzani waliopo wote kwa vyama...
Wakuu. Ningependa kujua kwa yoyote yule mwenye uelewa mpana wa ukoloni mambo leo unavofanya kazi. Atuambie ni lini alikuja kugundua kwamba vita hiyo ni kubwa sana na waafrika kwa ujumla tunazidi...
Ni maajabu makubwa kwamba balozi wa Tanzania huko nchini Namibia aliibuka na kuongea na vyombo vya habari kuwa aliyekuwa rais wa nchi yetu ni mzima wa afya na yupo salama kabisa.
Pamoja na kuwa...
Salamu wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu...
Sababu...
1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba.
2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi wa ubunge wa Muhambwe utafanyika Mei 2, 2021.
Jimbo hilo lililopo Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma lipo wazi kuanzia Februari 12, 2021...
Nimeamua kuachana kabisa na harakati za kisiasa kwa nia ya kuitoa CCM. Nimeamua kuachana na njia za kisiasa kama kupiga kura, maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa kwa sababu CCM haiheshimu...
MZEE WA MSOGA
JANA ILIKUWA SIKU YA MAZIKO YA KITAIFA YA SHUJAA WETU NA SIYO SIKU YAKO YA KUJITETEA!
Naamini Haikuwa siku muafaka kwako ukiwa Rais Mstaafu kunena uliyonena ukizingatia ilikuwa...
Kuna kiongozi anahimiza somo la historia ya Tanzania liandikwe na kufundishwa kuanzia awali hadi chuo kikuu.
Historia ni somo linalohusu matukio yaliyopita ,yaliyopo ili kujenga yajayo na...
"Sisi tuliostaafu tunapata muda mwingi wa kutalii kwenye mitandao ya kijamii kuona kinaongelewa nini kuhusu nchi yetu. Juzi baada ya hotuba yako fupi uliyoitoa baada ya kula kiapo nilipitia kuona...
Bado tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu.
Tumemwomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu.
Hakika Mungu amesikia kila kona ya dunia...
Hili ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza, Freeman Mbowe anatajwa kama Mwanasiasa wa kisasa aliyekomaa kuliko yeyote kwenye siasa za Tanzania kulinganisha na hawa waliopo kwenye uongozi wa...
Ni Mama mtulivu, anayetambua utu, thamani ya Binadamu, huruma, kauli za kutia moyo na mpambanaji vilevile.
Ni msikivu, mcheshi, asiyependa majigambo.
Kwa waliokaa karibu na huyu Mama wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.