Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika afika Kijijini Chikobe Mkoani Geita akitokea kwenye mazishi ya Magufuli kumjulia hali Mama Mzazi wa Kamanda Alfonse Mawazo,Bi. Heleni Nyegera. Alphonse Mawazo...
Miongoni mwa vitu ambavyo vilileta matatizo nchi hii, ni kuwa na Rais mlegevu na tepetevu.
Walikuja hapa watu wa pwani wakalegea legea hovyo nchi ikachimbwa na kuliwa mpaka mifupa.
Tukawa na...
Hakuna mtu anayechagua wapi azaliwe. Kila mtu hujikuta amezaliwa mahali fulani, na kupewa utaifa wa mahali husika. (kuna exception chache)
Walibya, Wayemen, Warundi, wakimbizi kwa ujumla...
Helena Yegera ambaye ni mama Mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo , mtu aliyeuawa kinyama pengine kuliko binadamu yeyote nchini Tanzania , leo amepokea ujumbe mzito kutoka Chadema Makao Makuu...
Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe.
Je...
Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN...
KWAHERI HAYATI MAGUFULI (JESHI),KARIBU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN(IRON LADY)
Taifa letu teule lipo katika wakati mgumu sana wamaombolezo na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wetu aliyekuwa rais wa...
HISTORIA YA UTAWALA WA AWAMU YA TANO MWAKA 2015 MPAKA 2020
Utawala wa awamu ya tano ulianza mwaka 2015 mpaka 2020 ukiongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Katika utawala wake Rais huyo...
UPDATES:
Komredi Humphrey Polepole amesema Kamati Kuu ya CCM imeelekeza Mkutano Mkuu wa Chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya Mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki...
Wale wapenda mabadiliko ya kweli tunapaswa kubadili mbinu za kupata yale mabadiliko tunayoyataka.
Tukiongelea uchaguzi wa kila baada ya miaka mitano kama ni ucahguzi wa wananchi tunajidanganya na...
Kwa muonekano wa nje, ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko ya Chamwino, japokuwa ilijengwa kipindi cha ukoloni na teknolojia ilikuwa ndogo.
Je, Tanzania tunafeli wapi?
Ebu angalia ikulu ya...
Nianze uzi huu kwa kumpongeza mzee wetu Ngosha,mtumishi namba moja wa nchi wa nchi ya Tanzania!
Baada ya pongezi kwa Ngosha nichukue fursa hii kwa kumpa Heko kwani kadri anavyozidi kukaa Ikulu...
ASKOFU MWINGIRA: TUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba...
Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia.
My Take
Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa.
Huu ni zaidi ya ufisadi...
Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa!
Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale...
Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.