Ameandika: MalisaGJ
Sio kwamba ripoti hizi zina mpya sana, bali kuna mtu mpya ambaye ameamua kuzifanyia kazi. Zamani zilikuwa zikisomwa zinawekwa kapuni maisha yanaendelea.
Kuna watu wanadhani...
Amani iwe nanyi!
Naomba niwashauri tu! Achaneni na wote waliokuwa wanapinga maovu ya Hayati Magufuli. Hawa ni pamoja na;
1. Fatma Karume
2. Jebra Kambole
3. Mdude Nyangali
Na wengineo wote...
Na. M. M. Mwanakijiji
Pamoja na kuwa Taifa limepoteza Rais wake kufuatia kifo cha Rais John Pombe Magufuli Chama cha Mapinduzi kinakabiliwa na changamoto ambayo kama chama hakijawahi kuipitia...
Aisee ama hakika nlikuwa naperuzi peruzi page ya Instagram ya Madam President, aisee nimeshitushwa na mambo mawili.
1. Mara zote tangu awe makamu wa Rais 2015, amekuwa akiji promote kwa hadhi ya...
Hakika leo hii imekuwa ni Jumapili njema maishani tangu mwaka 2015 sijawahi kupata siku mzuri na njema na yenye matumaini kama leo.
Hapa chini ni picha iliyo tolewa na Kipanya akionesha mitazamo...
Hapa kwenye hii picha,wapo watu mbalimbali. Ila tusaidiane kuizoom mpaka alipo Mh.Mwigulu Nchemba.
Tuambizane.....hili jicho ni la heri?
Mpaka ameng'ata lower lip......kuna usalama kwenye hili?
Wana JF,
Rais Kikwete amemtimua mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari TPA Raphael Mollel kuanzia tarehe 16 Januari na badala yake Amemteua Profesa Msambichaka kuwa mwenyekiti mpya wa bodi...
Tunavyofahamu ukiwa Rais basi moja kwa moja ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi.
Hii kauli ya CDF inaukakasi, mpaka najiuliza kulikuwa na nini nyuma ya pazia?
Wachambuzi na wabobezi wa mambo ya...
Huwa nashangaa sna watu kusema tulitoka mavumbini. Hivi ni kweli tulitoka mavumbini au tulitoka kwenye matumbo ya mama zetu kwa kutumia reproductive organ zao?
Au tumbo kwa lugha nyingine ni...
Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo
Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa
UPDATE: 04-05-2020
Aliyekuwa Mkurugenzi...
Rais Samia Suluhu Hassan(SSH) ameanza kazi rasmi leo tarehe 28/03/2021 kwa kupoke taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na taarifa ya TAKUKURU.
Huu ni mwanzo mzuri kuelekea kwenye uwazi...
Great Thinkers habari za mchana.
Nimeona Ndg zetu hususan wa CHADEMA wakihangaika sana mitandaoni kujua Rais Magufuli yuko wapi. Nimeshangaa kwa kweli 'wonders will never end"! Nina maswali...
Habari za jioni wakuu! Naamini wengi tushaanza kukubali kuwa JPM hatuko nae tena. Ni wazi kuwa maisha lazima yaendelee hivyo nimejikuta nawaza mustakabali wa taifa letu linakoelekea.
Kwanza...
Wakati wa marehemu, aliwapenda sana wajeshi bila kujali taaluma.
Kununua korosho, waeshi.
Kujenga ukuta mererani wajeshi nk.
Sasa itoshe, warudi wakalitumikitumikie taifa kupitia nafasi zao...
Nia na dhamira ya JPM dhidi ya Tanzania haitaweza kuhojiwa popote, alidhamiria kutuondoa kwenye umaskini na alitumia mbinu zote kufanikisha lengo. Dhamira iliendana na matendo, Ni vigumu kupata...
Unapoongoza watu ambao wanakuzidi elimu kuna changamoto yake, unakuwa hujiamini, unakuwa mwoga na hatimaye kushindwa kufanya maamzi sahihi.
Ifike mahala wafanyakazi waliojiendeleza kielimu wapewe...
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.
CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.
Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena...
Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi...
Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.