Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naweza kusema pamoja na rais Magufuli kuonekana sio mwanasiasa mzuri lakini karata zake amezichanga vizuri sana. Tangu aingie madarakani alionekana dhahiri kuwa ni rais asiye na simile kwa...
36 Reactions
86 Replies
9K Views
Hii nchi Kama ni kuchezewa isha chezewa sana na inaendelea hakuna cha awamu ya nani wala ya nani Sory nitoe Awamu ya Kwanza Pekee. Chukulia Mfano wa Stendi ya Ubungo. Ingekuwa ni nchi zenye...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Naomba kufahamishwa Kama taasisi hizi zinakaguliwa na CAG 1.TAKUKURU 2.TAMISEMI 3.Wakuguzi wa ndege za serikali 4.TISS 5.IKULU ENDAPO HAZIKAGULIWI, APAWEZI KUWA CHIMBO LA WATU KUFUJA FEDHA ZA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kabla ya Mwaka 2015. Tanzania ilikuwa na mashirika ya ndege za ndani Makubwa manne. 1. Air Tanzania 2. Community air line 3. precision air. 4. Fast jet. Community air line ilirudi kwa kishindo...
90 Reactions
204 Replies
30K Views
Kwanza pongezi kwa kuingoza Tanzania kwa busara. Ombi langu tusaidie wananchi kuhusu Huduma za tehama. Ni aibu kwa taifa hili lenye miaka zaidi ya 50 lakini huduma zetu za Tehema ni very poor...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hayati Nyerere tunaambia sababu ya kung'atuka ni baada ya kuona mambo yamekuwa magumu. Mh Mwinyi tunaambiwa aliamua kuacha gia ya nchi kwenye neutral. Hayati Mkapa yeye anatuhumiwa kubinafsisha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye huu mtanziko wa bunge na CAG ,chama cha mapinduzi kinalichukua kwa umakini mkubwa sana kwa kuchunga kauli yake ,napongeza uongozi mzima wa ccm kwa utulivu huu, Najua mnalifanyia ,kazi na...
12 Reactions
106 Replies
9K Views
Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano kwenye nafasi hiyo. Lakini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
20 Reactions
241 Replies
23K Views
Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa. Nilitegemea...
20 Reactions
81 Replies
8K Views
Zifuatazo ni taasisi za kufanyiwa uçhunguzi wa hali ya juu kwà awamu ya sita: 1. Wizara ya fedha...doto James 2. Tanroads... engineer Mfugale na mameneja wa tanroads mikoa yote 3. Takukuru yenyewe...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Tuliwalaumu na kuwalaani wakoloni kwa mambo mengi mojawapo ikiwa ni kutoa ujira mdogo kwa watu weusi na tukaamini tukipata uhuru, mambo haya yataisha. Cha ajabu, leo hii watwala ambao ni...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Pamekua nakau tata sana ya wanyonge. Sijui anamaanisha nini kwa kauli yake hiyo au hao wanyonge ni akina nani? Kwangu wanyonge wakubwa ni watumishi wa uma. Ambao wanalipa kodi zao bila kukosa kila...
5 Reactions
135 Replies
15K Views
Hadi sasa shirika letu la ndege ATCL lina zaidi ya ndege 10, baadhi ya ndege hizo hazina kazi yeyote ya kufanya kulingana na mahitaji ya sasa zaidi ya kupaki uwanja wa ndege JKNIA. Inavyoonekana...
33 Reactions
213 Replies
26K Views
Ni mengi yatakimbia na kuonekana kama ndoto iliyootwa usiku na kusimuliwa na baadae kutoweka.Inaeleweka wazi na bila ya chenga zozote kuwa Mheshimiwa marehemu Raisi John Pombe Magufuli alikuwa...
17 Reactions
153 Replies
10K Views
Naona tunanunua ndege, sio jambo baya lakini watu wengi wanapinga kwasababu hakuna mpango ambao unajulikana bado vizuri wa hili shirika. Je hizi ndege ni kusafiri Africa yote? mikoa yote? Ulaya...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Bunge limedhibitisha kwamba ununuzi wa ndege aina ya Bombadier umeliongezea shirika la ndege ATCL hasara maradufu kuliko ilivyokuwa awali. Tofauti na ripoti ya serikali iliyopotosha kwamba ATCL...
65 Reactions
331 Replies
34K Views
Habari zenu wanajukwaa, Kama tunavyofahamu leo Mh. Rais alikuwa akipokea taarifa ya CAG na PCCB ikulu ya Chamwino, kifupi nimefurahishwa na hotuba yake fupi na iliyojaa umakini. Kwanza, kumpatia...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimependa kauli aliyotumia Mhe. Rais, pamoja na kwamba yupo juu ya watumishi wote amejishusha nakuwaomba watekeleze maelekezo yake. Wapo watakaopuuza nakumfanya aanze kuwakoromea nakuwatimua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara. Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka. Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza...
70 Reactions
190 Replies
60K Views
Back
Top Bottom