johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,573
- 141,378
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.
CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.
Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.
Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.
Nilitaka kusahau, pengo la Dkt. Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.
RIP Magufuli.