Yaani watu watasimishwa, watafukuzwa wata fanywa sijui nini ila still tatizo halitaisha kamwe.
Mifumo inahitaji overhaul kubwa sana.
Ufanyaji kazi wa Serikali tu unavutia rushwa, na mtu...
Wadau habari za kazi.
Naomba kujua aina za wanyama pori wanaopelekwa Chato.
Pia idadi na je bado wanasafirishwa kupelekwa huko au zoezi limekwisha?
Wanyama wengi wanasafirishwa au kutolewa...
Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote...
Nilijua wapinzani hasa CHADEMA wangeendelea kuisusia Serikali kwa sababu CCM ni ile ile ila Rais ndiye amebadilika, ila kila ninayemsoma humu kwenye mitandao basi anamsifia Rais na kumuomba afanye...
Waziri Kijana Mhe. Selemani Jafo nimekusoma kuhusu taarifa ya kuwaondoa Wakurugenzi waliopata hati chafu.
Nakupongeza kwa uamuzi huo ingawa naomba kukushauri yafuatayo:-
1. Kuna Majiji, Manispaa...
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb), leo tarehe 7 Jan, 2019 saa 7.00 mchana ataongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu kauli za kudhalilishaji Bunge zilizotolewa na Prof.Mussa Assad...
Job Ndugai ambaye amehudumu muda mrefu katika nafasi za juu katika nchi yetu hasa Ubunge. Akaja kuchukua tena jukumu la kuwa Spika katika Bunge la JMT kabla ya hapo alikuwa Naibu Spika nafasi...
Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika
Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to...
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad...
Waungwana salaam.
Kwa mujibu wa katiba ikisomwa pamoja na Sheria ya ukaguzi wa umma ya mwaka 2008 Rais ndiye mwenye mamlaka ya kumteua mtanzania kuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG. Mbali...
Naam ni maombi yangu kwa huyu mwanasiasa (diaspora)(teh teh teh) ya kwamba Mungu ampe misha marefu ili ashuhudie matokeo ya upando wake..
Ashuhudie maamuzi ya watu wenye hekima kwa imma...
Is it fair to now surmise that she gives zero Fs about the rona?
This was today.
And as you can see...
No masks. No social distancing.
They are packed in there like sardines, breathing each...
Nimefatilia mijadala inayoendelea kwenye vyombo vya habari hususan wapinzani nikagundua kuna upotoshwaji mkubwa.
Kwanza naomba kuwakumbusha Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan anafahamu mambo...
Naungana na watanzania kumpa pole kiongozi wetu Mh. Rais Suluhu kwa msiba wa Hayati Dr. Magufuli. Apumzike kwa amani.
Tanzania ni nchi yetu sote na hatuna 'nchi mjomba'. Kwa hiyo tuipende nchi...
ATCL kama yalivyo mashirika mengine ya umma, kila mara imekuwa ikizaliwa na kufa kutokana na muundo wake usiokuwa wa kibiashara. TANESCO isiyo na mshindani yeyote, TTCL ambayo awali haikuwa na...
Bila maslahi yeyote ni kiri kuwa mimi ndiye niliyeliandika neno hapa kazi tu baada ya majina matano kuchujwa na JPM kupita.
Msemo huo ulikuja kichwani mida ya usiku baada ya kufuatilia mchakato...
Wanabodi,
Sio mara moja au mara mbili, kumekuwa na negative publicity kuhusu Tanzania kwenye media za kwao, mara wamtukane rais wetu, mara watutukane Watanzania, etc, na sisi Watanzania kwa vile...
Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha CHADEMA katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na...
Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu.
Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.