Ndugu zangu wasalam,
Ukiangalia mambo yanavyoenda kasi nchini kwetu, huwezi amini wapo watu wanasuka mipango kila uchwao kuhakikisha vyeo vyao na maslahi yao hayaguswi, kuondoka kwa Magufuli...
JESHI la polisi mkoani Mwanza linawasaka viongozi wawili wa dini wanaotuhumiwa kufanya uchochezi wa dini kupitia kanda za CD na VCD wanazoziuza kwa waumini wao.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk...
Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee amewataka Watanzania kumpa nafasi Rais Samia Suluhu na kuachana na tabia ya kuhoji wanawake wanapokuwa viongozi.
Mdee alitoa kauli hiyo jana Ijumaa Machi 26...
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.
Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo, Angevunja bodi nzima ya TPA, DG angefukuzwa na sio kusimamishwa...
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu...
Toa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je, mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
Nashangaa kwa sasa Chadema na vyama vingine vya siasa mpo bize kumpigia vigelegele Mama President as if ni mwanachama cha Hashim Rungwe kaingia Ikulu, mind u, CCM ni ile ile na ndio bado iko...
Kwanza nieleze wazi kuwa sina ugomvi wala maslahi yeyote na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. DC Bi. Jokate Mwegelo. Nikinukuu hotuba ya Mh. Rais Magufuli akimwapisha naibu waziri wa madini alikemea...
Katika kujenga nchi ki uchumi na kijamii na hasa nidhamu katika utumishi wa umma, tulipokuwa tumefika, hakukuwa na namna nyingine ya kufanya mbali na kutanguliza buldoza. Na ndivyo inavyokuwa...
Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote
Muda mfupi tu tangu Rais Samia Suluhu kushika...
Na Zitto Kabwe
Kwamba Mashirika ya umma nchini yanamkabidhi Rais cheki za magawio (dividends) ya faida zao ni ama Ofisi ya Rais inafanya Siasa au hawajui maana ya gawio.
Tukiwa Bunge la 9...
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.
Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna...
Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.
SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana...
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Ndg:Lengai Ole Sabaya amemuagiza meneja wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wilayani humo Rashid Murith kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wilaya OCD...
Mkuu wa wilaya ya Hai lengai Ole Sabaya amekabidhi gari ya Toyota Hiluxy double kibini kwa chama cha mapinduzi wilayani Hai ikiwa ni zawadi yake kwa chama hicho ili kitekeleze majukumu yake...
Habarini za wakati huu.
Leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali C.A.G, ametoa Taarifa yake na kukabidhi kwa Mh. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan. Katika...
Baada ya Uhuru serikali ilinunua ndege ndogo kwa ajili ya safari za Rais aina ya "Piper Apache" yenye usajili wa 5H-TBV hii ilikuwa mwaka 1965,tena 1966 Ndege aina ya "Aero Commander" yenye...
Bila kupoteza wakati kuna kipengele cha kupokezana kijiti kupitia udini katika nafasi ya Urais akitoka Muislam anakuja Mkristo, akitoka Mkristo anakuja Muislm
Kwa upande wangu sioni kama ina...
Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.