Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA UWEZE KUJISITIRI! NDUGU RAIS naona Trillion 1.5 imekutoa mafichoni, CAG ameivua nguo SERIKALI yako! CHUTAMA uweze kujisitiri !! USITISHE WATU...
169 Reactions
400 Replies
44K Views
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Tangia alipo ukwaa ukuu wa Nchi, mtukufu huyu amefanya siasa za nchi hii kuwa "the living hell". Democrasia iko mashakani na upinzani nchini Tanzania uko kwenye hali ngumu kuliko nyakati zozote...
23 Reactions
70 Replies
7K Views
Ndugu wanajukwaa salam, Uongozi wa awamu ya sita Chini ya Mama Samia umeanza kwa kishindo. Hotuba ya kwanza kutolewa na Rais baada ya kula kiapo imebainisha mambo kadhaa. Mosi, kudumishi umoja...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza, Chanjo itakapoingia nchini lazima ikatiwe utepe au izinduliwe. Kazi ya uzinduzi siku zote ufanywa na mwanasiasa si mtu mwingine, na utepe wa chanjo nikuchanjwa. Pili, Wanasiasa wapo wengi...
2 Reactions
6 Replies
698 Views
Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG . Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu. Rais Samia Suluhu amesema haya. ''Kuna umuhimu wa kuangalia upya...
28 Reactions
72 Replies
10K Views
Kuna mambo mengi sana, yanayo endelea ila inabidi ifike kipindi mtu lazima uongee kwa niaba ya watu wengine. Tabia hizi zenye wasiwasi zinaweza kuonekana kama sehemu ya mabadiliko makubwa nchini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za...
11 Reactions
681 Replies
65K Views
Katika hali isiyotarajiwa na wenge Mama ameanza vizuri sana kuanzia aliposhika kijiti kuingia uwanjani, kwanza akaipaisha jinsia ya kike kuwa inaliweza kulisakata gozi. Na ndani ya masaa machache...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Tumeambiwa Mwendazake alifanikiwa kufuta ufisadi serikalini na nidham ya kazi akarudisha..Leo mmoja wa wateuliwa wake DG wa TPA katimuliwa Kwa upotevu wa bilioni zaidi ya 3... Halafu tukaambiwa...
47 Reactions
87 Replies
7K Views
Tangu mwaka 1961-2015, Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ipo chini ya utawala wa chama cha mapinduzi, mwaka 1992; upinzani uliingia nchini japo miaka ya juzi tu wapinzani wameanza kupata nguvu...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya...
32 Reactions
173 Replies
23K Views
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe...
27 Reactions
44 Replies
12K Views
Nitakubaliana nao kuhusu Magufuli kutimiza Ilani yao ili mradi wakikubali kuwa wao ni rasmi CCM B na hapa ni uthibitisho kuwa yote anayoyafanya magufuli yapo katika Ilani ya CCM sasa sijui kama ni...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani nyote mnajua kuwa Rwanda, Zambia, DRCongo, na Uganda walikuwa ni watumizi wakubwa wa hii bandari yetu lakini sasa wamegoma na kutokana na ukithiri wa WIZI, UJAMBAZI, RUSHWA, hatutaki...
82 Reactions
336 Replies
82K Views
Wadau, Umoja wa Vijana wa CCM umefanikiwa kupata Mwenyekiti mpya ambaye ni Ndg Kheri Denice James kufuatia uchaguzi uliomalizika hivi punde tu huko mjini Dodoma. Mwenyekiti huyo mpya aliibuka...
13 Reactions
323 Replies
67K Views
😳CHADEMA😳 Nimeshtuka kuskia magufuli anatekeleza ilani na hoja za ukawa. Kwasasa rais anashughurika sana na ufisadi na ubadilifu najiuliza niwapi mgombea wa ukawa lowassa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena, kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja. Kamera nyingi zimewanasa viongozi wa...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu zangu wasalam, Ukiangalia mambo yanavyoenda kasi nchini kwetu, huwezi amini wapo watu wanasuka mipango kila uchwao kuhakikisha vyeo vyao na maslahi yao hayaguswi, kuondoka kwa Magufuli...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
JESHI la polisi mkoani Mwanza linawasaka viongozi wawili wa dini wanaotuhumiwa kufanya uchochezi wa dini kupitia kanda za CD na VCD wanazoziuza kwa waumini wao. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
5 Reactions
89 Replies
16K Views
Back
Top Bottom