Kanali Massawe aliwahi kuwa DC wa Kinondoni pia.
Alikuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee kuanzia mwaka 1986 hadi 2002.
Pia, alikuwa Mkuu wa Chuo cha NDC Kunduchi kisha Arusha.
Kanali...
Mh. Tundu Lissu kwi,kwi, kwi kwi ,kwi, kwi.
Mabadiliko ni lazima hata Ombeni Sefue alibadilishwa fasta;
Vyeo sasa vinaanza kusambaa nchi nzima, kanda ya ziwa hehehehe, huhuhu.
Nalisema hili isitokee kama wale wanaoshtukizwa na teuzi,tumesikia wakipashana kuwa wale wanaojipanga kwa nafasi ya Uraisi hapo 2025 wasahau !!!
Hili la wanaojipanga kugombea 2025 waache tabia...
Huenda Wadanganyika ndo raia pekee chini ya Jua wenye upeo mdogo sana chini ya standard ya upeo unao takiwa Duniani.
Wanacho Fanya watawala huwa ni kucheza na akili za Wadanganyika tu, hakuna...
Wabongo tuache kujipumbaza kwamba sisi ni taifa special sana linalotazamwa na Mungu kipekee ndio maana tumekuwa na rasilimali nyingi, maziwa, mito, bahari, hali ya hewa nzuri n.k. Mataifa yote...
Kwanza kabisa niwaombe msiwe waongeaji sana hii itaanza kushusha heshima yenu maana kupitia kuongea sana ndipo watu hupima busara zenu na kila neno litokalo vinywani mwenu hubebwa kama hoja na...
Wanachama wa ccm wenye nafasi za uongozi ni wanafiki sana,kama kuna PhD ua unafiko na uongo basi ccm wanayo!
Ni wazi kuwa chama chao.kinazalisha wanafiki na waongo,vijana wadhaifu,goigoi na...
Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo?
Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la...
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa...
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu...
Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko...
Haka ni kakikundi ka watu ambako Rais Magufuli alikuwa nako pale Tanroads na amekuwa akikatukuza sana. Imefika hatua hata wakitumbuliwa huku wanapelekwa kule. Aidha wengine nimeona wakipewa hata...
Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza...
Haiwezekani waziri unakaa na wamiliki wa mitandao ya simu mnakubaliana kitu ambacho unajua kabisa kitaiumiza jamii hasa wananchi wa hali ya chini tena zaidi wewe kama kiongozi unapigilia msumari...
Members, Kuna maswali yanafikirisha sana
Je, Pesa za Kuongeza mishahara Kikwete alikuwa anatoa wapi kila mwaka huku akiwa na watumishi hewa kwenye payroll ya mshahara?
Alilipa mishahara na...
Waliotajwa hapo juu ni hatari mno kwa utendaji wa TAMISEMI kwa waziri mpya nikikumbuka jinsi walivyodanganya katika ajira za ualimu, na kuingiza majina hewa zaidi ya 1000.
Mhe Rais usiwaaache...
1. Heri James
2. Ole SABAYA
3. Jery Muro
4. Ali Hapi
5. Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya
6. Cipirian Msiba
7. Makonda
8. Mbunge Msukuma
9Spika NDUGAI
Enzi za jiwe hawa jamaa walikuwa na siasa za...
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na...