Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa wakurugenzi wananyonya pesa sana. Hivi unakuta kama ana safari ya siku 7 Gharama zake na Dereva wake iko kama ifuatavyo hapa ni mbali na mshahara. 1) Mafuta ya gari 150000 ++ 2)lodge...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Na hiyo ndiyo mbinu aliyo kuwa akiitumia Magufuli. Alitumia sana Watanzania wa chini na wenye uelewa mdogo kujipatia umaarufu huku maswala ya kitaalamu yakienda kombo. Aliwadanganya sana kwa...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Habarini Wakuu! Kwa nafasi za uteuzi chini ya Mhe. Rais, mteuliwa ni lazima utafutwe na kupewa taarifa mapema kabla ya uteuzi au unaweza kushtukizwa tu? Je, wakikushtukizwa halafu baadae...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mara baada ya kula kiapo, Mohammed Mchengelwa ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, amesema watumishi ni nguzo ya serikali na anaenda kurejesha...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mpaka sasa najiuliza, Mtaalamu wa kuchoma watu sindano na kuwatibu wagonjwa inakuaje anapewa wizara ya mawasiliano? Hivi magufuli ilikuaje akampa MD wizara hii? Hivi hapakuwa na watu wa IT au...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatatu Septemba 30, 2019 atapokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha...
33 Reactions
491 Replies
48K Views
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
Toka enzi za Magufuli bei za vifurushi zilikuwa gumzo lakini pamoja na hayo hakuna kampuni iliyothubutu kupandisha gharama za vifurushi japo waliendeleza maongezi kutafuta suluhu na njia bora...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala...
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Mama amejitahidi angalau kidogo kutambua kuwa Taifa lilikuwa katika vipande vipande vya ukabila,udini ,ukanda. Kwangu mimi mama hadi sasa namuona akijitenga na chuki na uhasama ambao mtangulizi...
64 Reactions
106 Replies
10K Views
Ni ukweli usio na chembe ya shaka Rais Magufuli hatunaye tena, amerudi mavumbini alipotoka ambayo ni safari yetu sote. Rais Magufuli alikuwa ni mtawala tofauti sana na watangulizi wake na kiukweli...
124 Reactions
397 Replies
28K Views
RC Mbeya, Albert Chalamila akiwa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde kwenye Uzinduzi wa Ofisi Kuu ya Dayosisi na Kanisa Kuu amenena haya kuhusu hospitali mkoani humo kujaa wagonjwa “Wapo Watu...
15 Reactions
56 Replies
7K Views
Mhe. Rais Mstaafu J. Kikwete ameandika katika ukurusa wake wa Twitter maneno haya; Ndoto ya wananchi nikuona vijana wanapata ajira na maslahi yanayoendana na Hali ya uchumi ya Sasa. Nikipata...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
SIONI SABABABU YA KUMLAUMU MHE DKT FAUSITE NDUNGULILE Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya mabadiliko ya vifurushi vya mitandao jana kubadilika Watanzania wengi walilalamika kuwa vifurushi...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwigulu alipewaje uwaziri wa fedha?Mtu ana skendo mbaya na rekodi mbaya? Unajua kusema kweli mwigulu hakustahili kuwa hata mbunge Huyu jamaa hana rekodi nzuri ya utendaji ameshafukuzwa wizara...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
RAIS John Magufuli amezua mjadala baada ya kuvamia tawi la CRDB (Holland Branch), akiwa kwenye gari namba T 182 DFQ huku likiwa halina nembo ya "Adamu na Hawa" wala bendera ya Rais. Tukio hilo...
5 Reactions
162 Replies
35K Views
MWANZONI mwa miaka ya 80 nilipokuwa mwandishi wa habari kijana wa magazeti ya CCM ya Uhuru na Mzalendo, niliyekuwa nikiandika habari za bunge, hakuna mbunge aliyekuwa akinisisimua zaidi ya Padri...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana...
16 Reactions
268 Replies
30K Views
NUKUU-"Kuna vichwa 15 vya treni vilishushwa hapa lakini havina mwenyewe. Inawezekana vipi vichwa vya treni vinafika hapa bandarini, vinashushwa lakini mwenyewe hajulikani! Ni kwa sababu hakuna...
56 Reactions
358 Replies
56K Views
Back
Top Bottom