Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa. Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii ni tweet ya Darmpya blog wakimnukuu Pascal Mayala: Rais Samia ataitengeneza Tanzania vizuri kuliko Magufuli,Kumleta Balozi Mulamula ambaye ni top Diplomat kuongoza wizara ya Mambo ya Nje ni...
53 Reactions
228 Replies
19K Views
ukitembelea china utawakuta watz wengi wapo vyuo vikuu vya China tena kwa msaada mkubwa serekali ya china. Pia kwa upande nchi kama india, Singapore hata Russia ni vigumu sana kusikia ufadhili wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu...
1 Reactions
2 Replies
882 Views
Mama yetu mpendwa sisi wanao tunakuomba tujue mapema Kama nawewe unapenda kusifiwa au la hili ni ombi letu kwako maana mama ni mama tusije tukakuudhi maana mama hatakupoteza ila atakulaani na...
1 Reactions
4 Replies
952 Views
ASKOFU MWAMAKULA HAJATOA TAARIFA YEYOTE KUHUSU MHESHIMIWA MBOWE! Kuna taarifa zinasambaa ambazo sio za ukweli zikionekana zimetoka kwa Askofu Mwamakula akitoa taarifa kuhusu afya ya Mwenyekiti wa...
12 Reactions
216 Replies
17K Views
Licha ya taarifa ya TCRA kusitisha bei mpya ya mabando bado hali huku mtaani ipo vilevile. Bei zimebaki kuwa zile zile ambazo tulizilalamikia.Nashindwa kuelewa ile taarifa ilikuwa ya kutuliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bado tupo kwenye siku 21 za maombolezo kufuatia kifo cha Hayati Dr. John Pombe Magufuli, John Shayo ni Katibu wa Wajasiriamali wanaofanya biashara Magufuli Bus Terminal Mkoani Dar es Salaam ambaye...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki. ""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana...
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Mataifa makubwa ikiwemo S. Africa kauli ya Waziri wa Fedha inaweza kuchangia positively or negatively kwenye uchumi. Waziri wa Fedha akizungumza Jambo watu hupima mapokeo kwa kuhojiana na...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu. CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa...
17 Reactions
60 Replies
6K Views
Tangu gazeti dada la The Citizen lichapishe mwishoni mwa wiki habari za upotevu wa Sh480 bilioni katika Wizara ya Fedha, Serikali imekaa kimya kama vile wizi huo ni tukio la kawaida, hivyo...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Hili lipo wazi Tanzania katika mambo ya nje tulikuwa tumefeli sana, diplomasia ilikuwa hoi bin taabani. Chini ya Kabudi Tanzania ilikuwa kama kisiwa au nchi inayoelea hewani. Kuondolewa Profesa...
34 Reactions
115 Replies
14K Views
There are two Classes ,The poor innocent victims (PIV) =Wananchi waliotengenezwa na mfumo was siasa za bei Ndogo. Na pia kuna (VIP) very important person. Ambao ni wanasiasa . Na huu ndo ukweli.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka. Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize. Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari...
11 Reactions
33 Replies
6K Views
Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan amewasili Dar es Salaam akitokea Dodoma Akiwa Dodoma alipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, taarifa ya Takukuru pamoja na...
12 Reactions
111 Replies
10K Views
Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021. Nini maoni yako. #MitanoTena
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Tarehe 26 March 2020, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere aliwasilisha ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Kama hiki alichokisema Waziri Mkuu Majaliwa leo ni cha kweli [siku hizi ni muhimu kuzi qualify kauli zetu zinazowahusu viongozi wetu], basi serikali hii ya Mama Samia itaendelea kufanya kazi ikiwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
WAKURUGENZI NANE WA HALMASHAURI KIKAANGONI DODOMA: MACHI 28, 2021 WAZIRI Wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo, amemuelekeza Katibu Mkuu wa...
12 Reactions
120 Replies
17K Views
Back
Top Bottom