Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

AFRICA HAS BEEN ROBBED By: Cde TN +263 774 878 860 Greetings to you fellow Zimbabweans and Africans. Like always, let me begin by appreciating the gallant sons and daughters of the soil who laid...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwaka 2015 MTN Nigeria walidharau maagizo ya Serikali ya Nigeria ya kuzima laini ambazo hazijasajiriwa. Kilicho tokea walipigwa fine ya Kihistoria ya Dolla Bilion 5+. Sasa hizi zetu naona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waraka wa Wazi wa Mwalimu Shukia kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan. Wazo kuu: Elimu Bora ni Zao la Walimu Bora 1. Niungane na Watanzania wenzangu...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo. Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na...
16 Reactions
184 Replies
17K Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imesema kwa kutambua umuhimu wa Tiba Asili, itafunga mashine za kujifukiza kwa ajili ya Wagonjwa ambao wamekuwa wakihitaji huduma hiyo wanapokuwa hospitalini hapo...
14 Reactions
93 Replies
9K Views
Wananchi wanyonge wote wanakimbilia kwa Malisa GJ ili awachangishie hela za matibabu. Serikali jukumu lenu lipi? Nyie ndio mnakusanya kodi za nchi kwani mshindwe kusaidia wananchi WANYONGE wasio...
20 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari JF, Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali Tangu agizo hilo litolewe...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Vijana waliojua siasa nyuma ya mwaka 2014 wanakosa uhondo wa majidiliano yenye Afya yaliyokuwa yakiendeshwa na taasisi mbalimbali zakiraia yakihusisha Wataalamu na magwiji mbalimbali ndani na nje...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Mijibaba na ndevu zao wanawekwa kiti moto na kufikia kuomba msamaha kwa Waziri Gwajima ,watu kama hawa ndio wanaofaa ,na alipiga dongo kubwa sana ,dongo ambalo lilimlenga maremu kupanga vihio...
1 Reactions
3 Replies
810 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa msimamo wake dhidi ya vita ya maneno inayoendelea kati ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
4 Reactions
336 Replies
39K Views
Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao. Viongozi wengi wanapopata...
37 Reactions
98 Replies
9K Views
Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji (Makala hii imetoka kwenye gazeti la Raia Mwema, Jumatano Machi 31, 2021. Picha juu kutoka kwa Michuzi Blog). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu...
9 Reactions
120 Replies
10K Views
Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza...
1 Reactions
1 Replies
948 Views
Ongezeko jipya la bei za vifurushi bila shaka ni matokeo ya mazungumzo baina ya waziri mwenye dhamana na wamiliki wa mitandao ya simu. Tuoneshe kupinga kwa vitendo tusinunue vocha tuziache simu...
32 Reactions
146 Replies
11K Views
Habari, Mheshimiwa Rais,Waziri Mkuu & waziri wa Mawasiliano/Waziri wa ajira & Maendeleo ya Vijana 1. Sisi ni sehemu ya wajasiliamali tuliopata ajila zetu ambazo sio rasmi kwenye mitandao ya simu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mabadiliko makubwa aliyoyafanya Rais Magufuli na kuyafungamanisha kwenye mihimili yote mitatu yaani Bunge,Mahakama na Serikali leo yamezaa matunda makubwa kwa Taifa hili na kuleta furaha isiyo na...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Bandugu, Zulia jekundu ni zulia ambalo limezoeleka kutumika katika shughuli maalumu. Kwa shughuli za serikali, hili hutumika kwenye hafla za kitaifa na kunapokuwa na ugeni kutoka nje. Katika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe. Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi...
21 Reactions
135 Replies
11K Views
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake...
28 Reactions
204 Replies
23K Views
Back
Top Bottom