MWANZONI mwa miaka ya 80 nilipokuwa mwandishi wa habari kijana wa magazeti ya CCM ya Uhuru na Mzalendo, niliyekuwa nikiandika habari za bunge, hakuna mbunge aliyekuwa akinisisimua zaidi ya Padri...
Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana...
NUKUU-"Kuna vichwa 15 vya treni vilishushwa hapa lakini havina mwenyewe. Inawezekana vipi vichwa vya treni vinafika hapa bandarini, vinashushwa lakini mwenyewe hajulikani! Ni kwa sababu hakuna...
Dkt. Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii...
Heshima kwenu wakuu,
Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari.
Tutatoa updates kwa kila...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amefunga leseni za madereva 10 wa mabasi yanayokwenda mikoani wakidaiwa kuvunja sheria za usalama barabarani.
Simbachawene alifunga leseni...
Dr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa...
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli...
Liberians rejected a referendum backed by President George Weah to curb the length of presidential terms — a vote that could have helped the former soccer star extend his stay in office
Chanzo...
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii...
Nikiona hiki nakumbuka ile picha ya vijana wakikata mbuyu kwa shoka [emoji23] kwa lugha rahisi ni biashara ya kipuuzi na kijinga.
Ni kweli Goliath alidondoshwa na manati ila sio kumdondosha...
Katika makala iliyosomwa DW Ulimwengu amemsifia Magufuli kwa kuifumua bandari, TRA, kutimua wafanyakazi hewa, kurudisha heshima ofisi za umma. Lakini akasema serikali yoyote ingeweza kufanya hayo...
WASAKATONGE BADO HAMTAKI KUAMINI HILI?
Kila zama na namna yake, ndivyo nunavyoanza kusema.
Kwa kipindi sasa, kuliibuka kundi la wasakatonge, yaani watu waliojiweka mkao wa kuula.
Hili ni kundi...
Kiutawala hapa Tanzania awamu za uongozi humaanisha muda anaokaa madarakani Rais. JPM awamu yake imekuwa ya miaka kama mitano na ushe hivi. Mwinyi, Mkpa na Kikwete awamu zao zilikuwa ni miaka kumi...
Serikali makini lazima ikubali kukosolewa na inapokosolewa lazima ijirekebishe.
Tumeshuhudia miaka mitano ya serikali isiyotaka kukosolewa na matokeo yake ni aibu.
Mfano ni kweli kila taifa...
Nimefuatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa.
Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono, jasho na damu zao lakini...
Hii nchi ina watu wapole sana na waungwana, tena upole unaoelekea kwenye ujinga. Ndiyo maana kiongozi hata akiwaonea, akikiuka katiba na sheria, wao, mara nyingi, wapo kimya au watanung'unika...
Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.
Mwigullu Nchemba amesema katika...
Mama naomba niandike kifupi ili nisikuchoshe kusoma maana najua una majukumu mengi na mazito ya kuwatumikia Watanzania.
Mama, wakati hayati magufuli hajakumbwa na mauti alituahidi ajira 13529 za...
Tutawaletea matangazo ya moja kwa moja wakati wa uzinduzi huo utakaofanywa na Mhesh Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Tafadhali mtaarifu mwenzako & usikose kufuatilia shughili hii muhimu kitaifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.