Wanambeya wengi wanaomba yule Mkuu wa Mkoa aondolewe wapewe Mkuu wa Mkoa mwenye Akili nzuri na wa kuweza kuleta Maendeleo Jijini Mbeya.
Wanaomba sana Mama sikio kilio Chao. Kama ni lazima sana...
Wale ambao hawakuwepo zamani na hawajui kilichotokea kipindi hiko basi ni vizuri tukawasimulia kidogo Kuelekea uchaguzi wa mwaka 1995 CCM walikuwa na kambi mbili kubwa ya kwanza ilikuwa ya John...
Naomba niseme nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa uamuzi wa kupandisha vifurushi ulikuwa ni wa Waziri labda na TCRA tu kwasababu hili ni jambo kubwa ambalo siamini kama Waziri anaweza kulifanyia...
Nawasalimu wanabodi.
Mwaka 2015 Mwanadiplomasia mahiri na kachero mbobezi Bernard Membe alijaribu kuusaka Urais kupitia CCM lakini akakatwa jina lake hatua za mwisho.
Macho na masikio ya wengi...
Tumuunge mkono mama yetu tumsifie kwa kiasi.
Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anahitaji sana watanzania wote tumuunge mkono ili kuliletea taifa letu maendeleo endelevu
Maendeleo endelevu...
Kuzuia sherehe za Pasaka kwa namna yoyote ile ni kuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu...
Katika hali ya kushangaza leo asubuhui katika kipindi cha mahojiano channel ten,mgeni alikuwa ni Asofu Erasto wa Kanisa fulani la kiroho.Yeye alikuwa anawakosoa maaskofu waliotoa tamko kuhusu...
Huyu kiongozi alikuwa mbabe hakuna mfano. Tunaweza kumuweka katika category ya kina Hitler, lakini hukumu yake ilionyesha kabisa ubabe ulifikia mwisho.
Najua JF inayo hazina ya wajuzi wa lugha...
Kwa kuangalia dhana moja ya ukuaji wa mikopo katika uchumi (credit growth)
Kwa tafsiri rahisi kabisa ya kueleweka na kila mtu, mikopo inayotolewa na taasisi za fedha ndani ya nchi yoyote ni...
RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu...
Hawa wanaoitwa wanyonge hawana impact kwenye nchi.
Hawa hawawezi kuisadia nchi make kila siku wanawaza unyonge.
Nashangaa nguvu kubwa sana za kuwakumbatia hawa watu ambao hawana impact kwenye...
Na Deogratias Mutungi
Nianze kwa kusema nia na dhumuni ya makala haya ni pana kimantiki na inalenga kuonyesha mitizamo ya mbali kisiasa aidha inajikita katika uchambuzi unaoegemea fungu la upande...
Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka.
‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo...
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.
Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi...
Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la...
Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa.
Karibu tumsikilize , nilitamana sana...
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama...
Does Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba, PLO, remember his own countrymen...Paul Mboya and Robert Ouko?
I keep wondering what would have been the response from these two if the roles were...
Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana.
Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo...
Serikali ya Tanzania imesema ipo katika mchakato wa kufungua kesi ya kudai fidia ya pesa iliyotumika kuendeshea kesi ya Ndege ya ATCL, iliyokuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.