GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,099
Members, Kuna maswali yanafikirisha sana
Je, Pesa za Kuongeza mishahara Kikwete alikuwa anatoa wapi kila mwaka huku akiwa na watumishi hewa kwenye payroll ya mshahara?
Alilipa mishahara na kuwaongezea nyongeza watumishi halali na wale waliokuja kuitwa fake kila mwaka
Je, Pesa za ujenzi wa madaraja na barabara nchi nzima za kuunganisha mikoa alikuwa anazitoa wapi?
Alijenga barabara na kuacha mawaziri na Makamu wazindue baadhi ya barabara
Utakumbuka Makamu wa Rais Gharib Bilala alikuwa anazindua miradi ya barabara wakati wa Kikwete mpaka watu wakampa jina mkata utepe, Kwa miaka mitano Gharib Bilal ilikuwa uzinduzi na yeye
Je, zile pesa ambazo watu walikuwa wanakula na kuiba kwanini kikwete na Serikali yake hawakufilisika na kujitetea pesa za Kuongeza mishahara hakuna kwani Mafisadi wameiba, Watu waliongezwa mishahara kila mwaka?
Je, zile ajira za kuajiri walimu wote wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka pesa alikuwa anazitoa wapi?
Je, mbona hatukusikia wafanyabiashara wakifunga biashara zao na kubambikiwa kesi za kodi au Kudaiwa kodi za enzi ya mtangulizi wake Mkapa?
Je, Wafanyakazi walifanya semina, warsha na Safari za nje ya nchi. Pesa alizitoa wapi?
Pension watu walilipwa kwa wakati huku mifuko ya jamii ikishindana kutoa huduma kwa jamii, Kikwete hizi pesa alikuwa anatoa wapi?
Je, Mamilioni ya pesa aliyokuwa anawalipa wale wataalamu aliowatoa nje ya Tanzania na viongozi wa mashirika ambao walikuja kupunguziwa baadae alizipata wapi?
Je, Kwanini wakati anayafanya haya Magazeti yalikuwa yanasema na kumnanga kila siku lakini Jakaya Kikwete hakujitetea kuwa Magazeti yanamzuia asiwe na pesa za kulipa mishahara, kujenga barabara na kuruhusu warsha na Mikutano
Je, Pesa za kuadhimisha sherehe za Uhuru na Muungano kila mwaka alizitoa wapi. Kila mwaka watoto waliandaliwa kwa gwaride. Jakaya Kikwete hakuwahi kuhairisha sherehe za Muungano
Jakaya Kikwete alisafiri Dunia nzima kwa kundi la wapambe kila wakati a gani, Huku nyumbani nani aliyekuwa anaongoza nchi kwa kulipa mishahara vizuri, Kusimamia malipo ya pension za wastaafu, Kuvutia wawekezaji wengi,
Mpaka sasa mbinu alizotumia huyu mtu kufurahisha watu ninazisubiri kwenye kitabu chake