Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani...
1 Reactions
5 Replies
933 Views
Ndugu zangu, Leo katika habari ya saa mbili usiku Katibu Mkuu wa SADC Dr.Stegomena Tax amekana kufanyika kwa kikao chochote cha SADC bila uwepo wawenyekiti wake Dr.Magufuli. Naam
6 Reactions
76 Replies
8K Views
CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya...
9 Reactions
56 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali, kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
MUNGU AMEMPA KURA LISU, JE WEWE UTAMPA NANI? Na, Robert Heriel Hata Mungu hufanya uchaguzi, Hata Mungu hupiga kura. Sio mwanadamu peke yake apigaye kura, hata Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi...
22 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimejiuliza sana hawa watu au hili kundi linatakaje au lilitaka iweje? Maana kama ni kusema madhaifu aliyoyakuta ni sawa kabisa maana hata mtangulizi wake aliwananga sana marais waliopita maana...
56 Reactions
91 Replies
8K Views
TATIZO: "Unstable Political Grounds of the Nation" TATIZO ZAIDI: "Poverty Among Politicians is the Root Cause of Unstable Political Ground of the Nation" ZAIDI YA TATIZO: "POVERTY IS A RESULTS...
1 Reactions
2 Replies
777 Views
By Daniel Mjema Mwanchi 10/04/2021 Kwanza nawasalimu kwa salaam ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tende kwenye hoja, Kwa miaka mitano na ushee, tumeshuhudia kuibuka kwa kundi ambalo nasema...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais na Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania ameshaonyesha msimamo wake kuwa yeye ni Raisi anayesimama upande wa haki bila kujali wewe ni mnyonge, tajiri, mteule au mwanachama mwenzake. Hivyo baada ya...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Hakuna aliye juu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi. Sasa huyu ndugu Kigwangalla ambaye alikuwa Waziri wa...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwanza samahanini sana kwa yote yaliotokea najua ni wazi kabisa Mambo ni Mengi yalio waudhi na kuwakera wakat wa utawala wa Hayati Magufuli ila nyie kama viongozi mnatakiwa msahau yote na msimame...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi ,Hakuna maendeleo yanayopatikana kirahisi bila kuwapo na zana kizani za ufikiri, Hakika kuna watu wanaofikiria kesho na kuna watu wanafikiria leo tu I mean the image on foot CAG mstaafu...
37 Reactions
89 Replies
11K Views
Toka mwisho wa February mwaka huu 2921, Tanzania imepitia msukosuko liasi wa kisiasa na kiserikali kutokana na kutooneka, kufariki, na maziko ya Rais wa nchi Mh. John Pombe Magufuli. Muda wote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia. Huo...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Nilipowaona wanaharakati wakipambania Katiba mpya ili kama Nchi tuwe mifumo imara na sikutegemea mtu mmoja niliwananga! Aliposimama Mbowe kutukumbusha kuhusu uhuru na wajibu nilimuona hayawani...
19 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanabodi, Mimi mpaka Leo huwa naona vichekesho kwenye matumizi ya neno rushwa na fisadi Kama kutoa pesa ili mambo yangu au biashara zangu ziwe safi ni rushwa, Nitaendelea kuunga mkono rushwa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa. Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi, Nimeona kuna one John Mashaka anatamani kuwa na mdahalo na mimi kuhusu hoja yangu binafsi, naomba niseme wazi hapa, kuwa niko tayari kwa mdahalo wowote ule, kwenye ishu yoyote ile...
30 Reactions
617 Replies
55K Views
Leo hii Report ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali 2019/2020 imewasilishwa Bungeni. Kinachoshika headline kwa sasa ni juu ya ubadhirifu/ufisadi, pamoja na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi...
3 Reactions
4 Replies
963 Views
Wanajukwaa habari zenu, Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na...
17 Reactions
74 Replies
8K Views
Back
Top Bottom