DC asiyependwa zaidi parapanda imelia

DC asiyependwa zaidi parapanda imelia

Randy orton

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1,338
Reaction score
3,575
Rais na Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania ameshaonyesha msimamo wake kuwa yeye ni Raisi anayesimama upande wa haki bila kujali wewe ni mnyonge, tajiri, mteule au mwanachama mwenzake.

Hivyo baada ya kutangaza kuwa anahamia kwa DC's na RC's homa imewapanda viongozi hasa wale waliojigeuza Miungu watu kwa kuwachapa watu wazima fimbo na kuwadhalilisha watu.

Hakuna kiongozi ambaye amejipatia umaruufu kwa kuwadhalilisha watu hasa lile tukio la kuwasingizia watu kesi za uongo (rejea wizi wa vyuma vya reli ambao ulikuja kukanushwa na RPC na Mkuu wa mkoa)

Rais wetu hataki wafanya biashara kubambikwa kesi, anataka watu wafanye kazi kwa bidii wakizingatia sheria zetu za biashara na ulipaji wa kodi, kwa maana ili confidence ya uwekezaji irudi hapo Kilimanjaro na Wilaya zinazoongozwa na DC's waliokuwa wakiwatesa wafanya biashara ni lazima muondoke hapo.

Hata hivyo wananchi tunategemea hatua nyingine zitachukuliwa dhidi yenu( Uchunguzi wa mali mnazozimiliki, mashataka ya udhalilishaji n. k) kwa kuwa Mama yetu ameonyesha kusimama upande wa haki, tunategemea wote mliotesa wafanya biashara mjiandae kisaikolojia maana parapanda imelia...
 
Samia Suluhu Hassan Rais wetu,kipenzi cha Watanzania. Amir Jeshi Mkuu Mama yetu wa Taifa endelea kuwanyoosha Mama wale wote walipandisha mabega juu. Tupo pamoja na wewe siachi kukuombea Mungu akupe maisha marefu akujalie na hekima kwenye uongozi wako.
Mwaka 2025 utapata kura za kutosha kutoka kwenye kitongoji ninachotoka. Mimi nitafanya kampeni kwa cent zangu mwenyewe. Ombi langu usisahau fao la kujitoa la nssf nikipata hivyo vimilioni nitafungua hata kiwanda cha kutengeneza chaki. I LOVE YOU
 
hatari sana mkuu
 
Atuondolee zote hivi vidikteta vidogo Ili visije vikaangukia kwenye ngazi ya maamuzi tukarudi tulipotoka.
Apige chini sabaya, chalamila,happy,kiongosi,byakanwa,jerry hawana sifa za uongozi ni aibu kuwaita viongozi.Walipewa fadhila kama zawadi ya kuwatishia kuwauwa, kuwashughulikia wapinzani,nk.
 
LOH! UKISTAAJABIA YA MAKONDA UTAONA YA SABAYA,
NAONA ILE VITA ALIPIGWA MAKONDA MPAKA INAMUANDAMA SABAYA.
 
Samia Suluhu Hassan Rais wetu,kipenzi cha Watanzania. Amir Jeshi Mkuu Mama yetu wa Taifa endelea kuwanyoosha Mama wale wote walipandisha mabega juu. Tupo pamoja na wewe siachi kukuombea Mungu akupe maisha marefu akujalie na hekima kwenye uongozi wako.
Mwaka 2025 utapata kura za kutosha kutoka kwenye kitongoji ninachotoka. Mimi nitafanya kampeni kwa cent zangu mwenyewe. Ombi langu usisahau fao la kujitoa la nssf nikipata hivyo vimilioni nitafungua hata kiwanda cha kutengeneza chaki. I LOVE YOU
Hongera sana kwa comment yenye uweledi.
 
Tupo pamoja mkuu.
 
Rais na Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania ameshaonyesha msimamo wake kuwa yeye ni Raisi anayesimama upande wa haki bila kujali wewe ni mnyonge, tajiri, mteule au mwanachama mwenzake.

Hivyo baada ya kutangaza kuwa anahamia kwa DC's na RC's homa imewapanda viongozi hasa wale waliojigeuza Miungu watu kwa kuwachapa watu wazima fimbo na kuwadhalilisha watu.

Hakuna kiongozi ambaye amejipatia umaruufu kwa kuwadhalilisha watu hasa lile tukio la kuwasingizia watu kesi za uongo (rejea wizi wa vyuma vya reli ambao ulikuja kukanushwa na RPC na Mkuu wa mkoa)

Rais wetu hataki wafanya biashara kubambikwa kesi, anataka watu wafanye kazi kwa bidii wakizingatia sheria zetu za biashara na ulipaji wa kodi, kwa maana ili confidence ya uwekezaji irudi hapo Kilimanjaro na Wilaya zinazoongozwa na DC's waliokuwa wakiwatesa wafanya biashara ni lazima muondoke hapo.

Hata hivyo wananchi tunategemea hatua nyingine zitachukuliwa dhidi yenu( Uchunguzi wa mali mnazozimiliki, mashataka ya udhalilishaji n. k) kwa kuwa Mama yetu ameonyesha kusimama upande wa haki, tunategemea wote mliotesa wafanya biashara mjiandae kisaikolojia maana parapanda imelia...
Sabaya hakufikiri kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
 
Back
Top Bottom