Naomba tujiulize vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeshindwa kuingilia kati huu uchafuzi wakisiasa unaofanywa na viongozi waandamizi wakisiasa?
Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo viongozi leo Wana...
Ukimsikia anavyo lalamika na kuongea kwa uchungu unaweza fikiri ndie Rais aliepewa mzigo mkubwa kuliko wote katika historia ya Tanzania kumbe sivyo kabisa
Kama Rais Ally Hassan Mwinyi angekuwa na...
Mabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi:
Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote.
Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu.
Eeh...
Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya:
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2...
Tanzania tuna hazina kubwa sana ya wosia ambao umegusa karibu kila eneo ambalo leo hii tunaouona kama changamoto kwa Taifa.
Mimi ni muumini wa falsafa ya ujamaa wa Kiafrika na katika maisha yangu...
NAIBU waziri Kivuli wa Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalumu, Jesca Kishoa (Chadema) amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndigai kumuita mwanasheria mkuu wa serikali kutokana na mwanasheria huyo...
Habari za leo Watanzania wenzangu wote ambao mtatumia muda wenu mfupi sana kusoma maoni yangu haya ya kumsaidia MH Hamis Kigwangala Waziri wa Mali Asili na Utalii (mzee wa field).
Mapema jana...
Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani.
Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika...
CAG kafanya jambo la kishujaa tusema ukweli kama ATCL inaendeshwa kwa hasara ya bilioni 60 kwa mwaka.
Umefanya kijasiri kwa sababu tumekuwa tunafichwa sana na kudanganywa tunapata faida na gawio...
Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu
Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60
Trillion 1.28 ÷ milioni 60
1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333
Kila mtanzania...
Helo WanaJF,
Jana tarehe 06/04/2021 alipokuwa akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu na Wakuu wa Taasisi za Serikali, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitoa...
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KUWA MAKINI ZAIDI NA WAZIRI MWAMBE. AMEJAA KIBURI, CHUKI, NA MPENDA RUSHWA
Katika mabadiliko madogo aliyoyafanya Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alimtoa Mwambe kwenye...
Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede.
Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni...
Shirika la Ndege la ATCL ni moja ya icon kubwa kwa nchi yetu! Ni wazi inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la KIZALENDO hususan ni baada ya taarifa ya CAG kuonesha hasara ya 60 bilioni haikutokana na...
When Tanzanian authorities announced the passing of President John Magufuli on Wednesday, Vice President Samia Suluhu Hassan (pictured) delivered the grim news. The 61-year-old was sworn in as her...
Alichokifanya Ole Sabaya Mkuu wa WIlaya ya Hai ni kumdhibiti OCD ndio maana Kwa sasa ukiona anayoyafanya OCD wa Hai, Mkuu wa WIlaya, Ole Sabaya yuko nyuma yake. Huyu OCD anahojiwa na Tume...
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad
Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu...
Ukifatilia kwa makini mjadala unaoendelea wa kauli ya Rais dhidi ya vyombo vyahabali utajiuliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo habari, hii nikwasababu haihitaji mtu uwe na PHD kuelewa kuwa...
Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.