SADC wakana kikao kufanyika bila Rais Magufuli, wasema ni kikao cha nchi jirani na Afrika Kusini

Cyrill Ramaphosa aliyeongea kuwa kampigia Magufuli simu kumkumbusha majukumu yake hukumsikia? Lungu naye kampigia simu juzi wajadili suala la mpaka nayo kagoma kupokea matokeo yake akafunga mpaka! Boss wenu ana shida lazima mkubali.
 
Ndugu zangu,

Leo katika habari ya saa mbili usiku Katibu Mkuu wa SADC Dr.Stegomena Tax amekana kufanyika kwa kikao chochote cha SADC bila uwepo wawenyekiti wake Dr.Magufuli.

Naam

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakati wa JK vikao vya EA vilifanyika kwa mwavuli wa coalition of the willing. The same is now happening for SADC
 
Magufuli amefikia kwenye siasa za juu kabisa kwamba hata kama Tanzania haina ushawishi nje ila anawababaisha sana. Usikute hicho kikao kilichofanyika kilikuwa ni cha kumzungumzia Magufuli, siwezi shangaa hata kidogo.

Kwa sasa amekuwa na ushawishi mkubwa sana na wananchi wa nchi nyingi duniani wamekuwa wanavutiwa na aina yake ya uongozi. Ukiwa mwanaume lazima uwe na maamuzi sio leo useme hili na kesho useme hili unakuwa kama bendera inafata upepo.

Ndio maana hata hapa JF kila uzi Magufuli hivi Magu vile nyota yake inazidi kung'aa mpaka nchi za watu na hata mabeberu wanaonekana viongozi wao wanafeli ukilinganisha na uongozi huu wa Magu. Japo ana mapungufu yake mengi ila kwenye hili nampa sifa kwani hata mie sipendi kubabaishwa. .
 
Kama mwenyekiti wa SADC hataki kuitisha vikao au kuhudhuria vikao, wengine watafanya vikao.

Ukigoma kula, wengine watakula.
 
Mambo ya kitoto haya, mkikwama kwa mawazo na approach zenu za kizembe mnakimbilia JF kuleta nyuzi za kitoto Kama huu.
 
Magufuli amefikia kwenye siasa za juu kabisa kwamba hata kama Tanzania haina ushawishi nje ila anawababaisha sana. Usikute hicho kikao kilichofanyika kilikuwa ni cha kumzungumzia Magufuli, siwezi shangaa hata kidogo. Kwa sasa amekuwa na ushawishi mkubwa sana na wananchi wa nchi nyingi duniani wamekuwa wanavutiwa na aina yake ya uongozi. Ukiwa mwanaume lazima uwe na maamuzi sio leo useme hili na kesho useme hili unakuwa kama bendera inafata upepo. Ndio maana hata hapa JF kila uzi Magufuli hivi Magu vile nyota yake inazidi kung'aa mpaka nchi za watu na hata mabeberu wanaonekana viongozi wao wanafeli ukilinganisha na uongozi huu wa Magu. Japo ana mapungufu yake mengi ila kwenye hili nampa sifa kwani hata mie sipendi kubabaishwa. .
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Kwa waganga 1,000 kutoka Gambush wanaofanya kazi ya kuing’arisha nyota kila siku ni lazima ing’ae. Hata Baba yako ana ushawishi kwa mama yako
 
Mfano: Hivi siku ikitokea ikagundulika Magu ni pandikizi flani labda ameandaliwa na majasusi wa nchi jiran avuruge uchumi, amani, etc ya Tz mtaficha wapi nyuso zenu. Maana kuna watu wanamuabudu kama Mungu. He never makes a mistake.

Sent using Jamii Forums mobile app
A comment of the decade. Very few people saw this and very few people knows this. As long as Tanzanians are fools they won’t realize this until it’s too late.

Narudia tena your comment is the comment of the decade. Nyie ndo Yesu alisema mmejaaliwa kuzijua siri za ufalme wa Mbinguni.

Neither security organs nor his party knows this but the truth is he is our Gobachev.
 
Kwa waganga 1,000 kutoka Gambush wanaofanya kazi ya kuing’arisha buoyant kila siku ni lazima ing’ae. Hata Baba yako ana ushawishi kwa mama yako
Baba yangu ana ushawishi kwa mama yangu kweli kabisa
Ila hana ushawishi kwa watanzania na mabeberu
 
Back
Top Bottom