Wazo lenye manufaa kwa umma: CHADEMA waanzishe mfuko wa kuinua chama, wananchi tuwachangie

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa.

Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa hayupo nafikiri Chadema wanao uwanja wa kurudisha nguvu zao.

Waweke hadharani akauti ya Chama na namba za M pesa, Tigo pesa ,Airtrl money ili tuwachangie. Pesa zote akabidhiwe mwekiti Mbowe azitunze maisha yasonge mbele.
 
Kama huna mada tulia. Dr. Slaa angekimbia mziki wa JPM. T. Lissu ni kiboko. JPM na CCM walisaidiwa na JWTZ, POLISI, UHAMIAJI, WAKURUGENZI na Wizi wa kura wa Dr. Mahera. Mji wa Chato ujio wa T. Lissu uli zizima. Nchi nzima ili amka. NEC wanajua kura halali za T. Lissu.

Hii miaka watu wanataka mageuzi. CHADEMA ni imara. Ukitaka kuamini mikutano ya siasa iruhusiwe.
 
Mkuu si unasema chadema haina nguvu Kama ile dr slaa, nami nasema ili tukubali usemi wako vunja bunge twende field tuone ccm Kama watapata viti vitano maana ndo wajazana bungeni huko
Jibu swali Ccm inaingia vipi kwenye hii mada?
 
Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa.

Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa hayupo nafikiri Chadema wanao uwanja wa kurudisha nguvu zao.

Waweke hadharani akauti ya Chama na namba za M pesa, Tigo pesa ,Airtrl money ili tuwachangie. Pesa zote akabidhiwe mwekiti Mbowe azitunze maisha yasonge mbele.
Pesa akabidhiwe nani?. Kumpa huyu mtu pesa ni sawa na kumpa fisi kondoo awalinde.
 
Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa.

Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa hayupo nafikiri Chadema wanao uwanja wa kurudisha nguvu zao.

Waweke hadharani akauti ya Chama na namba za M pesa, Tigo pesa ,Airtrl money ili tuwachangie. Pesa zote akabidhiwe mwekiti Mbowe azitunze maisha yasonge mbele.
Mataga, msitupangie namna ya kufanya shoghuli zetu
 
Back
Top Bottom