Mbunge Hamis Kigwangalla ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hakuna aliye juu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi.

Sasa huyu ndugu Kigwangalla ambaye alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na hakufuata taratibu kwanini asihitakiwe?

Kumbe sasa tunapata jibu kuwa hata chuki zake kwa hayati JPM ni sababu alitoswa Uwaziri kwa sababu ya uozo wake.
 
Hakuna aliyejuu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi.

Sasa huyu ndugu Kigwangala ambae alikuwa waziri wa maliasili na utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na hakufuata taratibu kwa nini asihitakiwe?

Kumbe sasa tunapata jibu kuwa hata chuki zake kwa hayati JPM ni sababu alitoswa uwaziri kwa sababu ya uozo wake.
Aise tutashangaa @Kigwangala kama hata swekwa ndani na kufilisiwa, jamaa alifuja HATARIIII...
 
Kamata piga piga pingu na pereka kwa Pirato..Muda wote yupo kwenye mitandao kukalia majungu, ujuaji mwingi na kujisifia.You are very right the guy must be answerable for the scandal.
 
Naunga mkono. Kila mtu awajibike, wasijigiche kwenye kivuli cha Mwendazake.
 
Unajua kama hayati magufuli ange weza kuwasikiliza wapinzani bungen mle bac hakika angewakamata lkn sasa hayati hakutaka kuwasikiliza wapinzani...mfano swala la hamisi na ilee kampeni yake ya Tz unforgetable + kili challenge nakumbuka mchungaji Msigwa aliuliza hili kwann serikali ina tumi fedha nyingi kwa kigezo cha kutangaza utalii wa ndani kwa kuwatumia wasanii ambao hata lilongwe malawi hawajulikani ..lkn watu wakaona msigwa boya leo yamefumuka

Na isitoshe huu umekuwa ni mchezo wao wanatajwa ktk ripoti hizi hakuna action zinazo chukuliwa ndio maana wana dunda mjini
 
"Wapinzani wamechelewesha maendeleo ya Tanzania"
Pumbavuu
 
Hakuna aliyejuu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi.

Sasa huyu ndugu Kigwangala ambae alikuwa waziri wa maliasili na utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na hakufuata taratibu kwa nini asihitakiwe?

Kumbe sasa tunapata jibu kuwa hata chuki zake kwa hayati JPM ni sababu alitoswa uwaziri kwa sababu ya uozo wake.
Mnatafuta awaloge,huwa anapenda waganga wa kienyeji sana
 
Back
Top Bottom