Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwalimu Nyerere aliwahi kunukuliwa miaka kadhaa iliyopita akitamka kwamba " CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI " hapa alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa unategemea na...
12 Reactions
60 Replies
3K Views
Salaam Wakuu. Kama mnakumbuka mwezi March 2017 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kiliwafukuza wanachama wake 12, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Sophia Simba. Sophia alilazimika kupoteza...
19 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha. Dkt. Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
34 Reactions
156 Replies
16K Views
Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi. Huko nyuma hili...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Spika wa Bunge la JMT, Job Ndugai ameungana na kauli ya Rais Magufuli kuhusu ubovu wa masharti yaliyomo kwenye mapendekezo ya mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Itakumbukwa kuwa, Spika...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Bila Shaka watanzania wenzangu tukakubaliana kwamba, Prof. Ndalichako na Mpango wanatumika kuiangusha hii serikali. Wamepwaya kupitiliza. Wamewafanya wananchi masikini Kwa mawaziri kuichukia...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
MSANII mahiri na nyota kabisa kuliko wote nchini ametoa wimbo mpya. Katika suala la nyimbo mpya, hakuna sehemu huyu amewahi kushindwa, kwa sababu hata kama hautaki kuukubali muziki wake...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Aprili 8, Spika wa Bunge Job Ndugai alisema Hayati Rais Magufuli alishauriwa vibaya kuukataa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambayo ingekuwa kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kukuza uchumi...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Ni kama vile hakuna jambo lolote la kuhuzunisha na kusitikitisha lililotokea wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwa wafiwa si kwa serikali...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
UTEUZI BAKWATA Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa wateuliwa Akiongea na waandishi wa habari leo, Msemaji wa samaha Mufti sheikh Khamisi...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
WanaJF, salaam! Mgogoro wa kiutendaji unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii na magazetini umetengenezwa - waliotengeneza wametumia turufu fake na visingizio vya taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme. Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo...
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Hizi ajira milioni kumi na mbili zilitolewa nchi gani? sijamwelewa waziri wa fedha na hii ndyo ropiti mpango aliiandaa kabla hajaapishwa kuwa makamu? Aliyeelewa anisaidie. Waziri wa fedha, Dkt...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kiukweli mimi ni muumini wa falsafa ya CCM mpya ndio maana napata shida kidogo kuielewa hii combination. Wengi mtaniuliza kwani Lowassa na Rostam ni viongozi ndani ya chama?..... Hapana siyo...
9 Reactions
91 Replies
13K Views
Salaam mama, hongera kwa kuanza kazi vizuri na pole kwa yote utakayokuwa unakumbana nayo katika siku hizi za mwanzo. Mhe. Rais, naomba nikujuze yafuatayo: Kuna genge flani la waliokuwa wanufaika...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam. Unapokuwa na...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali. Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru...
2 Reactions
10 Replies
986 Views
Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom