Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wakuu Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu. Sasa hapa...
15 Reactions
138 Replies
11K Views
Kwema wanachemba. Tumeshuhudia tangu kuondoka kwa mwendazake kumekuwa na sauti nyingi sana zikipazwa kwa nguvu sana tena na wengine waliokuwa wasaidizi wake wa karibu sana kujaribu kutuaminisha...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Kutokana na ripoti ya CAG inayoonesha upigaji wa hali ya juu katika serikali ya awamu ya tano chini ya Mwendazake basi haraka sana fanyeni yafuatayo: i/ Acheni kuandaa makala na vipindi...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni mbunge wa Mbeya Mjini ametangaza kusitisha ziara mbalimbali bungeni. Bunge limekuwa likipokea ziara za mafunzo kwa wanafunzi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahodha katangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania, Chikawe pia na Lukuvi kutangaza muda wowote, Lakini Jk anamtaka Makongoro Nyerere, Aliposema anatoka kwa majaji. Maana yake ni mume wa Jaji...
19 Reactions
255 Replies
42K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete TAYARI amesaini mswada wa sheria ya mitandao uliokuwa ukilalamikiwa kuwa unaukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadamu. Hivi kuanzia sasa ni sheria kamili, na hivyo kila...
19 Reactions
212 Replies
24K Views
Niwaambie tu, hawa CCM na serikali yao, japo kwa sasa wanaonekana kugawanyika, ila ukweli ni kwamba wote ni wale wale tu (wapigaji), hivyo msitarajie jipya kutoka kwao zaidi ya maigizo ya...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as...
15 Reactions
81 Replies
9K Views
Kila mmoja anaona kinachoendelea kuhusiana na ripoti ya CAG na matamko ya mwenye nchi yake lakini si kila mmoja analiona jambo hili katika angle tofauti, Taifa hili tokea lilipokabidhiwa mikononi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.
17 Reactions
207 Replies
29K Views
Hatutaki Kujifunza, Sri Lanka Waliota Kama Sisi, Yakawafika.. Ndugu zangu, Pichani askari wa Sri Lanka waliokuwa wakipambana na waandamanaji walioingia mitaani kupinga mji wa bandari yao...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
Rais A Mkali Mbishi Mnafiki Mkusanyaji mzuri wa Kodi Mwizi Mbinafsi Malaya ( Muhuni ) Rais B Mpole Mkarimu Muungwana Ana uwezo mdogo wa Akili Mwizi wa taratibu Anainua Vipato vya Wananchi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tutegemee kuona haya yafuatayo...... 01: Misamaha Ya kodi kwa Walipaji wakubwa ili Wanyonge waanze Kusumbuliwa. 02: Kushuka kwa makusanyo Ya kodi na kukwama kwa...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Leo ni siku ya pili nafuatilia Mikutano ya bunge,na nimeshuhudia wabunge wa cdm, hasa wale viti maalum ambao kimsingi wana Kesi na chama chao. Je, Mh JJ Mnyika haoni haja ya kusimamia hili kwa...
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Hizi ni sababu: 1. Serikali ikifanya jambo jema kwa watu litakuumiza na kutuchoma sana, kupata nafuu ni mpaka tutafute kukosoa 2.Muda wote hauna FURAHA, unakuwa watu wa MATUSI, MALALAMIKO...
36 Reactions
119 Replies
7K Views
Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa. Tusubiri makubwa zaidi? Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
3 Reactions
95 Replies
9K Views
Moja kwa moja kwenye mada husika wadau wa Jf. Huko nyuma ilikiwa ni aibu maana watu walikuwa hawafanyi ufisadi bali ni kujichotea na kujijazia. Fikiria skendo la Escrow watu walichota bil of Tsh...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwa siku hizi chache tangu Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ashike madaraka rasmi tumeanza kushuhudia mengi Kuna baadhi wanasema watanzania hatupaswi kuweka...
24 Reactions
55 Replies
5K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema kuwa deni la Taifa linaongezeka kila mwaka ambapo kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2020 deni limeongezeka kwa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom