Kwenu Tundu Lissu, Mbowe, Zitto, Mbatia, Lipumba; hatupati msaada? Tafadhali sahauni yote tufanye letu moja

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Kwanza samahanini sana kwa yote yaliotokea najua ni wazi kabisa Mambo ni Mengi yalio waudhi na kuwakera wakat wa utawala wa Hayati Magufuli ila nyie kama viongozi mnatakiwa msahau yote na msimame kwa niaba yetu.

Tunajua Magufuli alikuwa mchapakazi na kafanya makubwa sana kwa niaba ya taifa la Tanzania japo mlipishana ila naomba tusahau hayo kwanza.

Kama hamtokua makini wakati huu baadae hali itakua mbaya na tutakua tumeshachelewa ona leo mafisadi ya CCM yanavyomchafua HayatI kuwa alikua fisadi mkubwa na kwa kukosa akili Wanachafua kila kitu alichokifanya yani wanasema mpaka stand ya Mbezi hakustahili kujengwa et itasababisha foleni how CAG?

Uko kote poa tu kama wanaamua kumchafua Hayati hawawezi kumchafua sababu kaacha Alama.

Wasi wasi wangu ni Ile Bandari ya Bagamoyo tunaomba mfatilie mtupe jibu Moja tu ili litasaidia uchafu wa Hao mafisad kugundulika au uzur wao.

Je, mkataba uo unasemaje? Je, aliokua Anaongea Magufuli juu ya mkataba ule ni kwel au si kweli na kama ni kweli why now waseme wanataka kuurudisha na Magufuli alishauriwa vibaya?

Upinzani zile nguvu za umma mlizo kua mnazitaka now mnazo Sasa fanyeni kitu kabla nchii hii haijapotea tukaanza kusota Tena kwa Miaka 100 ijayo.
 
Mbowe wakati anavunjiwa biashara zake ulinisaidia? Watanzania wana degree za unafiki. Kaa kimya Mbowe, Usiwajibu. Acha tuendelee hivihivi.
 
Uandishi wako ni wa kiwango cha chini sana. Huna nukta, koma wala huwezi kutawala mpangilio wa herufi! Ndiyo elimu za kata hizi?

Odhis *
 
Watu hawaelewiiii!! CAG hajasema stand haifai ametoa maoni kuwa italeta msongamano brbr fulani sasa niswala la kutafuta mbinu kukabili msongamano barabara hiyo!?

MTU akikwambia mkeo anajichubua hamaanishi hafai manake mrekebishe asipake mkorogo!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Watu gawaelewiiii!! CAG hajasema stand haifai ametoa maoni kuwa italeta msongamano brbr Fulani sasa niswala la kutafuta mbinu kukabili msongamano barabara hiyo!?
MTU akikwambia mkeo anajichubua hamaanisho haifai manake mrekebishe asipake mkorogo!!
Na ni kweli foleni ya pale ni kubwa.
 
Malizaneni kwanza wenyewe kwa wenyewe halafu akina Mbowe waje wawakute mko na majeraha, itakuwa rahisi kuwawin, kwasasa ni bora wapige kimya huku wakimsaidia mama kwa umakini asipoteze focus. Amwanike jiwe kama alivyokuwa maana alitesa sana wananchi wake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom