Hivi ni nani anaweza kutueleza tulitoka wapi, tupo wapi na tunakwenda wapi?

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
395
250
Hivi ni nani anaweza kutueleza tulitoka wapi? Tupo wapi na tunakwenda wapi?

- Sababu mpaka sasa nimeshindwa kutambua ni nini kinaendelea na ni nini kilitokea. Nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi?

Fumbo ili litapata majibu pale wausika wote watakapo fikishwa katika vyombo vya dola, utetezi wao utatupa majibu yote..bila kufanya hivyo nitaendelea au tutaendelea kubaki njia panda.

Wahusika wote wapo na wengine bado ni viongozi ndani ya Serikali yetu.

Vyombo vya dola pekee ndivyo vinavyoweza kutupa majibu ya hizi sintofahamu. Au kama hataki kufukua makaburi aunde kwanza tume kuchunguza miradi yote kutambua ufanisi wake na faida zake.

Akijiridhisha na kuona kuna sababu ya kuiendeleza basi hakuna shida na kama kuna madudu afutilie mbali.
 

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
972
1,000
Inaogopesha sana kongozi, hali uliyonayo ni kama yangu.

Hivi aliyesema ATCL imetoa faid ya bilioni 20 ni nani?

Sasa vp tena ghafla hii huyu cag anasema kuna hasara ya bil. 60 huko ATCL? Aaaaagh!
 

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
3,928
2,000
Hatuna Dira,
Tutaandika meengi, Ila ukweli ndio huo,
Elimu yetu ndio hivyo,
Mali asili mhhhhh!
Madini,mama weeeeeee!
Fedha ehhhhhhhh!
Sijui wapi tuna afadhali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom