Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha...
Najua topic imepita, lakini ninajua kidogo kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo na napenda kumuunga mkono Mhe Spika kwa hoja zifuatazo. Na naamini Serikali yetu itazichukulia kama ushauri wa Mbunge...
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Catherine Magige ameiomba Serikali itekeleze haraka Mradi wa Maji Katika wilaya ya Ngorongoro wa Vijiji nane wa kutokea Sangurunguru kupitia Ngarwa, tinaga...
Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa...
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?
Taswira gani...
Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi...
MAWAZIRI WAKETI KUWEKA MAMBO SAWA, NI KUHUSU MAAGIZO YA RAIS YA ONLINE TV
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Magufuli alianza kwa staili ya aina yake, ya kipekee. Pamoja na kuwemo ndani ya Baraza la mawaziri kwa takribani miaka 20 lakini alijitenga na Serikali zilizopita.
Aliwafanya waliomtangulia...
Habari wana JF.
Naomba kujuzwa hivi kuwa waziri asiye na wizara maalum jukumu lake ni nini la kiutendaji? Na je kuna katibu mkuu, mkurugenzi na wafanyakazi wengine?
Naomba kuelimishwa juu ya hili...
Haya ni maoni ya mwandishi Ndg Mgamba.
Bunge na wabunge washitakiwe na wananchi kwa kupitisha mikataba inayowaibia wananchi mali nyingi za madini na biashara.
Actually ana sema ni UHAINI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14...
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United...
Siku chache zilizopita, nilisema jinsi ambavyo Maaskofu tulivyoandamwa na mamlaka kwa vitisho hadi baadhi ya Maaskofu wakaamua 'kuomba poo' lakini wengine tusonga mbele!
Sasa soma ushuhuda wa...
Nianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati...
Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema...
Wabunge Livingstone Lusinde "Kibajaji" na Joseph Kasheku " Msukuma" wamelithibitishia bunge na wananchi wa Tanzania kwamba wasomi wa nchi hii ndio wanaoongoza kwa kuchelewesha maendeleo nchini...
Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao.
Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena...
Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.