Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,502
51,098
Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15%
Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria hiyo ambao mikataba yao ya ukopaji ni kutakiwa kulipa 8%

Tunahitaji wabunge wanaosimama bungeni na kungea issues za msingi kama hizi.

Pia nimefurahishwa na Gambo ambaye kakemea watu wanaotaka tuishi katika kivuli cha Marehemu Magufuli wakati sasa hivi ni zama za raisi mwingine ambaye ameonyesha nia na muelekeo wa kubadili aina ya uongozi wa ukandamizaji, uonevu, kutofuata sheria.

Wale Wanazi wa Magufuli wamuache mama Samia afanye kazi yake.

Lakini wabunge wasio pemda ukweli hata hawaja mpigia makofi. Ila tangu hili bunge lianze leo mwakilishi wa wananchi ameongea.
Wengine walikuwa waimba kwaya tuu.
 
Mh. madam president inatakiwa achague waziri mkuu mwingine, uyu aliepo amuache waendelee kumuota magufuli yeye na lina Ndugai na kundi lao, tofauti na hapo watamkwamisha,, au avunje bunge kabisa ,ili ufanyike uchaguzi wa wabunge,tupate wabunge wanaojitambua, hawa waliopo waende wakawe wabunge uko alipo kiongozi wa malaika
 
Back
Top Bottom