Mdhibiti CAG agundua ufisadi wa kutisha Jimboni kwa Spika Ndugai

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,776
102,135
Screenshot_20200409-092801_Drive.jpg
Screenshot_20200409-093826_Drive.jpg


1. Mkandarasi amekula milioni 348 bila kufanya kazi

2. Mradi wa milioni 528 hautoi maji. Mkandarasi kasepa

Najiuliza nguvu anayotumia Spika kummaliza Tundu Lissu kwa nini haitumii kusimamia miradi huko kwake,au na yeye ana 10%?

Hali hii haikubaliki
 
Mtu yeyote ambaye amewahi kufika kongwa na kupaona,kisha akaambiwa mbunge wao ni spika wa bunge wa Tanzania .hakuna mtu ambaye angekuwa anamulaumu mzee "chalaza fimbo" kwa jinsi anavyoliendesha bunge.shikamoo kongwa
 
Si mlisema huyu CAG ni fake?
Si mlisema atatenda kama mkuu anavyotaka?
Au sio nyie mliosema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa kinachozungumzwa ni Ufisadi jimboni kwa Speaker na siyo credibility ya Source za Ufisadi huo. Msiwe mnapenda kuwaingiza walimu kwenye matatizo kuwa hawafundishi, wakt kwenye mitihani mmejibu maswali mliyotunga wenyewe!

Hoja haikusudii kumlinganisha CAG huyu na CAG yule. Ila imejikita kumwangazia bwn Workload Mafwimbo ule utashi wa kuzodoa wengine, anautoa wapi Kama kwake hali iko hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom