johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.
Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?
Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?
Niishie hapo.