Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani mwaka 2025 endapo Magufuli angemaliza miaka mitano ya utawala wake?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,860
2,000
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,629

Ndoto yake ya wewe kuishi Kama mashetani ingelitimia
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
11,758
2,000
Watanzania wote wangeshageuka wa mavumbini
JamiiForums1587396019.jpg
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,677
2,000
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Mimi hata sielewi ,kwani hata tulipotoka nilichanganyikiwa
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,497
2,000
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Ni aibu rais kulindwa na waganga wa kienyeji 900 halafu unajinadi kuwa wewe Ni Mkristo
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,724
2,000
Tungerudi nyuma miaka mia
Maana kungekua hakuna hata chombo cha habari
Wanasiasa wote wangekimbia nchi au kufungwa gerezani
Wafanyabiashara wangekimbilia nchi jirani mfano akina manji na mo
Kungetokea wizi wa kutisha na cag angekatazwa kuleta report yake ya kila mwaka
Kusingekua na uchaguzi tena maana hakuna wapinzani
Yaani tungekua ni nchi ya ajabu duniani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom