TCRA yatoa taarifa kwa umma kuhusu watu wanaosmabaza taarifa za uongo mitandaoni

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
963
Taarifa kwa umma
IMG-20210414-WA0000.jpg


Sent from my EVA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Picha apige mwenyewe chumbani kwake na simu yake.azisambaze mwenyewe.ila Mimi nikiwasambazia watu kosa?.
 
Hii ndo kazi pekee TCRA wanaweza kufanya kwa ufanisi, nayo ni kutetea/kuwatumikia watawala.

Nadhani kuna somo watawala na TCRA bado halijawaingia vizuri. Kupambana na mitandao ya kijamii ni kujipotezea muda. Pamoja na mbinu zote wanazo kuja nazo, mpaka sasa hawajafanikiwa kuicontrol mitandao ya kijamii. Waachane na haya mambo waende wakafanye vitu vya msingi.
 
Back
Top Bottom