Mzee Makamba; Komredi asiyezeeka

Wanahofia unaweza kuleta zile mambo zako za kumsifia yule mzee wako. Ahueni leo umemsifia huyo Makamba! Hivyo wanatakiwa wakusamehe.

Kwani Jf ina ubaguzi kwenye kumsifia yule mzee wangu? Au imekua ni kwaajili ya Tundu peke yake?
Nadhani mimi najua Jf ni huru kwa kila mtu kutoa mawazo na maoni yake na kupingana iwe ni kwa hoja na sio kwa matusi ua kufutiwa threads

Kwani nisimsifie makamba kwanini
Halafu nyie watu bhana..... mnafikiri kila kitu na kila mtu anapinga pinga kama nyie
 
Tatizo na nyinyi mmezidi kumsifia yule mzee wenu! Yaani tayari mnna Bosi mpya! (BossLady) Na ushahidi ni yale mabango na zile picha za ukutani tulizo zibadilisha! Lakini bado nyinyi mnaendelea tu kumtambua na kumwabudu Bosi wenu wa zamani! Sijui aliwapa nini yule mzee!!

Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
 
Na hatuachi kumsifia yule mzee ng'o!
Na boss mpya bosslady tunamkubali kama mtangulizi wake maana chuma hunoa chuma
Tunamtambua na tutandelea kumheshimu kazi kwenu nyio mnaoumia akisifiwa sababu mtakufa kwa kihoro

Hatuhitaji approval yenu kusema John Pombe Joseph Magufuli ni shujaa wa karne

Poleni kwa maumivu
 
Swali chokonozi hivi katika utawala wa Jiwe kama "Rais " ameshawahi kuhojiwa na waandishi wa habari kufanya session ya maswali na majibu?

Au ulishakuwepo mdahalo wowote ukimuhusu yeye na watu wenye mawazo tofauti?
 
Kwani Jf ina ubaguzi kwenye kumsifia yule mzee wangu? Au imekua ni kwaajili ya Tundu peke yake?
Nadhani mimi najua Jf ni huru kwa kila mtu kutoa mawazo na maoni yake na kupingana iwe ni kwa hoja na sio kwa matusi ua kufutiwa threads

Kwani nisimsifie makamba kwanini
Halafu nyie watu bhana..... mnafikiri kila kitu na kila mtu anapinga pinga kama nyie
Ulikuwa hujui JF ni michadema tu
 
..hivi mzee yusufu makamba hajahifadhi Quran?

..kila anapozungumza hunukuu Biblia, sijawahi kumsikia akinukuu Quran.

..wanasiasa wanajificha kwenye UDINI kutetea hoja zao wanakera.
 
Kama ni hivyo jf inaenda kupoteza maana yake
Ipoteze mara mbili? Huoni wanamsifia kila anayeponda JPM. Usijali ukweli wa umahiri wa JPM unajulikana kwa asilimia 99 hiyo asilimia 1 ni watu wenye wivu na kazi iliyotukuka Aliyoifanya kwa muda mfupi. Aidha mama Samia maskini ameyumbishwa hapa mwanzo, naona tangu kibajaji ajilipue bungeni, atakuwa ameelewa ili kweli kazi iendelee. Usisahau kuna sasa makundi 3 ambayo ni wafuasi wa JK na mafisadi wenzake; kundi la Lowasa lililokuwa limejifuta ila baada ya hotuba ya hovyo ya JK wakati wa maziko limeibuka, na wafuasi kindakindaki wa JPM (ambao wanachukia ufisadi). Kazi ipo
 
Tatizo na nyinyi mmezidi kumsifia yule mzee wenu! Yaani tayari mnna Bosi mpya! (BossLady) Na ushahidi ni yale mabango na zile picha za ukutani tulizo zibadilisha! Lakini bado nyinyi mnaendelea tu kumtambua na kumwabudu Bosi wenu wa zamani! Sijui aliwapa nini yule mzee!!

Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
Magu kwangu ametoweka kimwili tuuu
 
Karne ya 18, yani karne tatu nyuma.
Na hatuachi kumsifia yule mzee ng'o!
Na boss mpya bosslady tunamkubali kama mtangulizi wake maana chuma hunoa chuma
Tunamtambua na tutandelea kumheshimu kazi kwenu nyio mnaoumia akisifiwa sababu mtakufa kwa kihoro

Hatuhitaji approval yenu kusema John Pombe Joseph Magufuli ni shujaa wa karne

Poleni kwa maumivu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom