Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA. Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuacheni dharau kila mmoja ni mtaalam kwenye professional aliyosomea. Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili mambo yanayohusu sheria...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wasalaam wana jamvi! Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona! Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli...
34 Reactions
406 Replies
25K Views
Kila Mbunge anayesimama bungeni anakosoa utaratibu unaotumiwa na awamu ya tano kuendesha Mambo yake. Kwa mfano; Sospeter Muhongo katika vipaumbele vyake vitano anavyopendekeza hakuna hata kimoja...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakika! Mama yetu huyu ni kiongozi na uwasilishaji wa hotuba anautendea haki sana. Kwenye hotuba zake hatukani wala hafoki hovyo Tunahitaji viongozi wa namna hii wenye uwezo wa kutoa hotuba...
34 Reactions
90 Replies
8K Views
Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga. Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje...
33 Reactions
99 Replies
10K Views
Mbunge wa Kilolo, Justin Nyamoga akiwa Bungeni Dodoma leo amehoji ni lini Serikali itarudia mpango wake wa awali wa kushusha vifurushi ili Watanzania wavipate kwa bei nafuu. Naibu Waziri wa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi. Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV. Updates; ====== Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Iwe chadema, NCCR, CUF na ACT wazalendo. Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya CCM. Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu) Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo...
55 Reactions
403 Replies
36K Views
Kila nikiiwaza Tanzania kwanini tupo kama tulivyo mpaka sasa nakosa majibu. Tanzania imashika namba tano kwa idadi kubwa ya watu nyuma ya Nigeria, Ethiopia, Misri na DR Congo. Idadi kubwa ya watu...
1 Reactions
1 Replies
671 Views
Mbunge wa Temeke Mhe.Dorothy Kilave bungen leo aomba vifaa tiba kwenye hospitali ya malawi na buza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam. Nimeonelea nitumie ukurasa huu kutoa pendekezo ninaloona ni la manufaa sana kwa mustakabali wa taifa letu. Imekuwa ni kawaida Kwa watumishi kuhangaika kutafuta mikopo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SHAREDCovid pushing 30 million Africans into poverty - IMF Africa editor, BBC World Service ReutersCopyright: Reuters Some African nations will need to increase health spending by 50% to...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Salaam wana jamvi, Nimesikitishwa na kinachoendelea bungeni Kwa sasa kwani nitofauti kabisa na misingi ya uwanzishwaji wa chombo hiki. Hivi karbuni bungeni pamegeuka ni mahali paku onyesha...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa...
23 Reactions
45 Replies
4K Views
ZANZIBAR :- WAZIRI JAFO ARIDHISHWA MIRADI YA MUUNGANO Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amefanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi inayotekelezwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku zote nitaendelea kuwaheshimu vijana wa kitanzania wanaoendelea kuikosoa serikali hadharani, pale inapotenda ndivyo sivyo. Pamoja na matukio ya kutisha yanayowakuta vijana/watu wanaoonesha...
10 Reactions
52 Replies
7K Views
Back
Top Bottom