Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,048
2,000
Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia upinzani na kista kumsifia Hayati Mhe. JPM. Kwa siku zote hizo alikuwa akilipwa fedha za walipa kodi kama shukrani. Lusinde akaona hayo ndo maisha, akanunua na BMW Nyeusi, akajiona mwenye heri sana.

Tangu Mhe. JPM amefariki, mirija ya Lusinde imekatwa, leo anajidai kujipendekeza kwa Mheshiwa Rais aliyepo akidhani mirija itafunguka, tunampa pole hakuna fedha za Rogue Units kama ilivyokuwa hapo awali. Lusinde utaongea hadi sauti hadi iishe, Mama Samia hana muda na wewe, ana akili zake na ana wasaidizi wake wanaomshauri ipasavyo.

Mwisho niwashauri Lusinde, Msukuma, Jenister na wenzenu, nguzo yenu imeanguka, muukubali ukweli wa Mungu kuwa JPM ametangulia mbele ya haki na Rais aliyepo ni Mhe. Samia Hassan. Aidha, Ndugai kuwa makini na Lusinde aliwahi kusema utarudi kama CARGO ukiwa matibabu India. Ni bahati ulirudi ukiwa mzima.
 
Tunguja

JF-Expert Member
Feb 15, 2018
370
500

Mwache Lusinde aendelee kutafuta fursa,umejuaje kama siasa zake hazina nafasi Tanzania ya SSH au unataka kumpangia mama?
 
Ryaro ryaro

Senior Member
Feb 10, 2021
130
500
100% Uko sahihi na ulichokiandika ila Umemsahau Yule Zombi a.ka, Mwanaharakati huru "god wao" Mungu alimpenda Zaidi, Kwa sasa watulie tujenge nchi kistaarabu. Siasa zao za Majitaka sote tuzikae kwani tunataka Kujenga taifa lenye upendo na Mshikamano.
 
Kakore kajiru

Member
Mar 19, 2021
20
45
100% Uko sahihi na ulichokiandika ila Umemsahau Yule Zombi a.ka, Mwanaharakati huru "god wao" Mungu alimpenda Zaidi, Kwa sasa watulie tujenge nchi kistaarabu. Siasa zao za Majitaka sote tuzikae kwani tunataka Kujenga taifa lenye upendo na Mshikamano.
😂😂😂😂😂
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,837
2,000
Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia upinzani na kista kumsifia Hayati Mhe. JPM. Kwa siku zote hizo alikuwa akilipwa fedha za walipa kodi kama shukrani. Lusinde akaona hayo ndo maisha, akanunua na BMW Nyeusi, akajiona mwenye heri sana.

Tangu Mhe. JPM amefariki, mirija ya Lusinde imekatwa, leo anajidai kujipendekeza kwa Mheshiwa Rais aliyepo akidhani mirija itafunguka, tunampa pole hakuna fedha za Rogue Units kama ilivyokuwa hapo awali. Lusinde utaongea hadi sauti hadi iishe, Mama Samia hana muda na wewe, ana akili zake na ana wasaidizi wake wanaomshauri ipasavyo.

Mwisho niwashauri Lusinde, Msukuma, Jenister na wenzenu, nguzo yenu imeanguka, muukubali ukweli wa Mungu kuwa JPM ametangulia mbele ya haki na Rais aliyepo ni Mhe. Samia Hassan. Aidha, Ndugai kuwa makini na Lusinde aliwahi kusema utarudi kama CARGO ukiwa matibabu India. Ni bahati ulirudi ukiwa mzima.
Misukule ya magufuli hiyo.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,923
2,000
Mleta uzi umekuja na uzi mzuri, lakini napenda ufahamu, ccm sio chama chenye ushawishi tena kwa sasa, lakini kwakuwa kinafanya lolote ili kubaki madarakani, basi siasa za hila bado ni nguzo kuu kwake. Hivyo hizo siasa za Kibajaji bado ni siasa muhimu sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom