Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HAWA SI WAZALENDO, NI WASAKATONGE TU ✍️✍️✍️✍️ Licha ya neno uzalendo kutamalaki vinywani mwa kila mtu, wanaharakati, wanasiasa na watumishi wote wimbo wao ni uzalendo, lakini wengi sana...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais John Pombe Magufuli ametoa siku saba kwa wapangaji wote serikalini wanaodaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kulipa madeni yao, pamoja na kutoa agizo kwa viongozi wa shirika hilo...
15 Reactions
300 Replies
44K Views
Wakuu, nimekuwa nafuatilia mijadala inayoendelea huko Bungeni. Ukisikiliza kwa makini utagundua ni mijadala ambayo ingetakiwa kufanyika ndani ya Chama. Bungeni ni sehemu ya kuongelea mambo yaliyo...
2 Reactions
4 Replies
666 Views
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni; Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe. Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa...
3 Reactions
85 Replies
6K Views
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi. Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Maamuzi ya kuvuruga uchaguzi makusudi na kuhitimisha kwa kutaka kuwanyima ushindi washindi yamepelekea Wazanzibari kwa umoja wao kuamua leo hii kuchoma Ubani nchi nzima wakimuomba MUNGU atoehukumu...
1 Reactions
103 Replies
21K Views
Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakumbuka siku moja JK aliwahi kusema alipokuwa mbunge alimpa lift bwana mmoja wa jimbo lake, na wakiwa kwenye safari alianza kumuuliza maswali mbalimbali kuhusu hali ya jimbo na wanajimbo. Bwana...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Siasa za kujipendekeza kwa CCM na siasa nyepesi nyepesi ni vizuri mkazifanyie Ufipa, haya mawazo ya kutaka kuokota dodo katika mti wa mfenesi mwisho mtajikuta mmedharaurika mpaka na kuku...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu. Mambo ni mengi , muda ni mchache sana. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ni kama umri umemtupa sana wa kuendelea kuwa Mtumishi wa Umma. Hajafikisha umri wa...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi Amesema...
9 Reactions
63 Replies
7K Views
Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi. Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea...
4 Reactions
90 Replies
6K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo hususan ile ya kimkakati na inayolenga...
1 Reactions
0 Replies
840 Views
Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa. Lipumba amesema zaidi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali imekitaka chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS )kuacha kujihusisha na masuala ya kisiasa na uanaharakati badala yake kijikite zaidi kusaidia jamii katika nyanja za kisheria. Naibu katibu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mswada ulisha somwa kwa mara ya kwanza bungeni, wale wabunge wa upande wa pili ambao wao kazi yao ni ndiyooooo kila jambo kwao wao ni ndiyoooo,, wabunge ambao wamekuwa tishio kubwa kwa taifa letu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Tarehe 16 April 2021 ni siku ya uchaguzi mkuu wa viongozi katika Chama Cha Mawakili Tanganyika TLS (Tanganyika Law Society). Wagombea urais waliopitishwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge. Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda. Kwa wanao fuatia...
14 Reactions
65 Replies
6K Views
Back
Top Bottom