Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,901
"Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu.
uzandiki: hali ya unafiki, udaku, umbeya, uongo.
Wanafiki mama anawaonya acheni unafiki
Wambeya mama amewaonya waache umbea
Waongo akina Mbowe na kundi lake mama kawaonya acheni umbea
uzandiki: hali ya unafiki, udaku, umbeya, uongo.
Wanafiki mama anawaonya acheni unafiki
Wambeya mama amewaonya waache umbea
Waongo akina Mbowe na kundi lake mama kawaonya acheni umbea