James Lembeli: Walitaja magonjwa ya wenzao wakaacha yao

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,819
49,016

image.jpeg

 

Duh, hii mbaya sana. kuna mtu fulani hivi naye nasikia alivyokuwa mdogo huko katika mikoa ya wasukuma, aliugua ugonjwa wa akili, yaani nati ililegea kidogo. na kama ujuavyo uchizi huwa hauishi wote. hii kitu imeenea sana kuna watu wanao ushahidi. hivo ni mhimu sana kuangalia background za watu kabla ya kuwahukumu, wakati mwingine sio wao ni uchizi, ugonjwa kabisa. wamezidiana tu na wengine, nao walitakiwa wawepo mirembe...Mungu awapige kwa nyundo ya chuma kwa Jina la Yesu.
 
Back
Top Bottom