James Lembeli naye kurejea CCM?

James Lembeli naye kurejea CCM?

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
346
Reaction score
381
Naona mambo yanaiva sasa.

Wale waliokuwa wakipinga ubadhilifu, ufisadi na hujuma mbalimbali katika nchi wanaingia ndani ya CCM ili kumuunga mkono JPM. Kila mtu na nafsi yake.

Mungu ibariki Tanzania
 
Kuna Mzito Mkubwa sana wa Chadema Maombi yake ya Kujiunga na CCM yanategemea kukubaliwa kwny Mkutano Mkuu ujao wa Chama!
 
Hii itakuwa fair nywele nyeupe mmoja CDM nywele nyeupe mwingine CCM. Kama kawaida topic haitakuwa Chadema wanakosea wapi ila topic Itakuwa kwa vile msukuma
 
Naona mambo yanaiva sasa.

Wale waliokuwa wakipinga ubadhilifu, ufisadi na hujuma mbalimbali katika nchi wanaingia ndani ya CCM ili kumuunga mkono JPM. Kila mtu na nafsi yake.

Mungu ibariki Tanzania
Mkuu tusidanganyane. Lembeli huwezi mtenganisha na ufisadi hata angejivika rangi za chama gani.
 
Miaka mitano ya Magu itakuwa ya Maendeleo ya kuhama vyama. Viwanda tena ni suala la kumuachia Kaijage na cherehani zake

Duh Umesema maneno yanayouma,baada ya miaka mitano tutatoa hesabu kama hivi .........'Utawala wangu nilijitahidi kuwarudisha vijana wengi kutoka upinzani ona akina kafulila,Katambi.............'Hahhahahah ipo kazi
 
Naona mambo yanaiva sasa.

Wale waliokuwa wakipinga ubadhilifu, ufisadi na hujuma mbalimbali katika nchi wanaingia ndani ya CCM ili kumuunga mkono JPM. Kila mtu na nafsi yake.

Mungu ibariki Tanzania
Mbona heading na maudhui ya hii habari haviendani....[emoji15] [emoji15]
 
Kuna Mzito Mkubwa sana wa Chadema Maombi yake ya Kujiunga na CCM yanategemea kukubaliwa kwny Mkutano Mkuu ujao wa Chama!
Naskia ni yule mzee alie tangaza kustaafu siasa na kisha akakimbilia Canada ambapo alienda kujiongezea alimu na kisha kupata kazi kwenye moja ya supermarket baada ya kuhitimu masomo yake
 
Duh Umesema maneno yanayouma,baada ya miaka mitano tutatoa hesabu kama hivi .........'Utawala wangu nilijitahidi kuwarudisha vijana wengi kutoka upinzani ona akina kafulila,Katambi.............'Hahhahahah ipo kazi
Kumbe inawauma sana kuona ccm inagombaniwa?
 
Lembeli?? Kimbunga hiki, Tutaona nyeti za kuku
 
Naona mambo yanaiva sasa.

Wale waliokuwa wakipinga ubadhilifu, ufisadi na hujuma mbalimbali katika nchi wanaingia ndani ya CCM ili kumuunga mkono JPM. Kila mtu na nafsi yake.

Mungu ibariki Tanzania
hahahah.Katibu mkuu mashinji.katibu dhaifu sana yule.CHADEMA wamemlea sana
 
Back
Top Bottom