Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
25,480
35,136
Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA!

5f2d71057548225125f4b5be5f0441b6.jpg

1793128_IMG_4998.jpg


Sasa sijui nae ataitwa msaliti? Maana yule ndio mwenye chama hasa.
 
Rais wa JMT ndg JPM! Ambae si mwanasiasa anaandamwa kila kona ya nchi kwa ubabe na maneno yanayokatisha tamaa wapiga kura woote nchini!
 
Na ukisha kua na hujayaona, ujue ni mfu unatembea! Mh. Rais anapigwa kila kona, lazima tumtetee.

Quote: I never seen a strong and great man with an easy past.
Uzuri Rais hatetereki anasimama na anachokiamini wanaompinga lazima wampinge ili wasisahaulike.

Uzuri wananchi kikubwa wanamwangalia Rais nn anafanya au kasema nini na Upinzani wanajitahidi kupindisha wanachokisikia na kukiona.
 
Kule Sumaye, huku EL, nyuma Kingunge Katikati Mbowe, mbele Tundu. Wale wengine akina Mnyika wame-mute. CDM inataka kupewa dola, hahahahaha!
 
Hii sentensi chadema waliisema sana wakati JPM anaanza kutumbua majipum
Wakasema anatekeleza sera na ilani ya Ukawa.
Sasa hivi nadhani wanatamani haya maneno wayameze na yafutike kabisa.
 
Uzuri Rais hatetereki anasimama na anachokiamini wanaompinga lazima wampinge ili wasisahaulike.

Uzuri wananchi kikubwa wanamwangalia Rais nn anafanya au kasema nini na Upinzani wanajitahidi kupindisha wanachokisikia na kukiona.
Yaaa kweli kabisa maana ata rais Idd Amin aliamini kua vilema hawana haki ya kuishi na akatekereza hayo lkn watu wengi walimpinga
 
Na ukisha kua na hujayaona, ujue ni mfu unatembea...!! Mh. Rais anapigwa kila kona.. lazima tumtetee..

Quote: I never seen a strong and great man with an easy past..
Mkuu nakuelewa sana!! We ni moja kat ya magreat thinker humu Jf,..
 
Sasa mbona dagaa wa chadema hawalijui hilo au sumaye ni mamuluki katumwa kuvuluga chama
 
Sumaye si ndio alisema inataka moyo kuwa mpinzani? Labda anajitarisha kurudi kundini.
 
Back
Top Bottom