Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS KAWAPA KITENDAWILI MOROGORO WAKITEGUE. Leo 00:58hrs 14/02/2021 Je, wakazi wa Morogoro ni wavivu kushindwa kuzika wapendwa wao hadi wapate msaada kwa Abood!?basi lenyewe analolitoa kwenda...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini. Hayo yameelezwa na katibu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Usalama mahala pa kazi (April 28th 2021) Ni lazima Waajiri wote Nchini kuweka mifumo madhubuti ya Usalama kwa Wafanyakazi wanapokua kazini. Jambo la pili ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi. Huyu alikuwa kiungo mchezeshaji akiwa anajinasibu kuwa na nguvu isiyomithilika. Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira...
51 Reactions
195 Replies
58K Views
Wafanyakazi zaidi ya 543 wa Kampuni ya maua ya Kili Flower ya wilayani Arusha Mkoani Arusha wamejikusanya na kuzua taharuki kwa kuangua vilio hadharani katika ofisi za Tume ya Usuluhisho{CMA} Mkoa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Mtangazaji wa tv nguli nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Aloyce Nyanda amesema DC Kasesela wa Iringa alitafsiriwa vibaya na hakuwa na nia ya kutukana. Nyanda amesema baada ya kuiona ile clip...
6 Reactions
131 Replies
12K Views
Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii...
22 Reactions
149 Replies
12K Views
Kwenye safari zake zote za kwende dar ama dodoma amekuwa akipanda ndege za flightlink badala ya ndege za serikali ni kwanini?
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari Wakuu Serikali inaendelea na mpango wa kuwahamishia watumishi wake Dodoma, ni mpango wake hatuupingi lakini Serikali hii bado haijajiandaa vya kutosha. Hivi karibuni kuna Taasisi tena...
4 Reactions
1 Replies
705 Views
Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza nitoe pole kwa Familia ndugu na Watanzania wote kwa Kifo cha Hayati Magufuli. Kama kichwa cha habari nichukue nafasi kuwashukuru sana Viongozi wa CHADEMA kwa Jinsi Walivyosimama imara...
18 Reactions
55 Replies
4K Views
Huko Marekani kwa mara ya Kwanza katika Historia yao Makamu wa Rais wa sasa ni Mwanamke Kamala Harris. Nchini Tanzania kwa sasa na haikuwahi kutokea Rais wa nchi ni Mwanamke Mama Samia Hassan...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma. Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa...
10 Reactions
69 Replies
9K Views
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi ======== MRISHO GAMBO: Wafanyakazi 14,409 ambao ni sawa na asilimia 2.82 walibainika kuwa na vyeti feki. Mheshimiwa naibu spika hoja...
22 Reactions
379 Replies
35K Views
Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia...
19 Reactions
63 Replies
4K Views
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi! Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais! Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi...
5 Reactions
116 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…