Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MWENDESHA mashtaka wa Mkoa wa Manyara, Mutalemwa Kishenyi anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Manyara, kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya shilingi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti...
11 Reactions
40 Replies
4K Views
CCM inakwenda kupata mwenyekiti mpya wa taifa kufuatia mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa JMT. Katibu mkuu atakuwa mpya Katibu wa Itikadi na Uenezi atakuwa mpya. Yawezekana hata makamu wa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Closed
Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi . Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa...
14 Reactions
85 Replies
8K Views
Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji...
18 Reactions
40 Replies
5K Views
Moja ya uongo wa awamu ya tano ni kuwa walijenga viwanda elfu nane/8000 ukiwauliza vipo wapi wanakuonyesha vyerehani[emoji23] Awamu ya 6 imesema imejenga zahanati 1800, vituo vya afya 400 na...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Ni kutoka Kijiji cha mbagamawe wamedai kupigwa na kuchomewa nyumba zao kwa miaka zaidi ya mitano Sasa Huku wakilalamikia watu wanaodaiwa ni Askari wawanyama pori maarufu Kama game Chanzo Cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo alipotajwa Mhe. Kassim Majaliwa Kassim Bungeni, alipigiwa makofi mengi sana tofauti na wenzake. Kwa mtazamo wangu kwa wiki hizi kadhaa Waziri huyu mkuu amekosha nyoyo za watanzania wengi na...
23 Reactions
161 Replies
15K Views
Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi. Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya...
1 Reactions
3 Replies
963 Views
Ndugu Polepole Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Hiki chama kipokipo tu mitaani, wilayani na hata serikalini lakini tuseme ukweli hakina faida kwa Wananchi wa Taifa hili la Tanzania kwa ujumla. Viongozi wa Chama hiki ndio wanaofaidi, kazi yao ni...
1 Reactions
2 Replies
738 Views
Habari zenu wadau wa JF siasa. Niende madani hapo juu. Jana nilikaa na kufanya maongezi hapa na pale na kada mzoefu ndani ya CCM. Moja ya jambo la kushangaza aliloniambia ni kuwa Magufuli...
3 Reactions
186 Replies
22K Views
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani Samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiano ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua. Tusubiri na ripoti sijui ya...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa...
7 Reactions
28 Replies
7K Views
Nianze tu kwa kusema miongoni mwa mawaziri ninaowakubali hapa nchini ni huyu mama (Ummy Mwalimu). Huyu ni miongoni mwa mawaziri wafuatiliaji sana kwenye shughuli zake za kila siku, hii mnaweza...
1 Reactions
5 Replies
889 Views
https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na...
22 Reactions
80 Replies
7K Views
Back
Top Bottom