Sasa ni takribani mwezi mmoja na siku kumi baada ya Tanzania kumpoteza Dkt. Magufuli

La-Ranger

Member
Apr 27, 2021
22
13
Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya sita chini ya mama yetu Samia Suluhu Hassan lakini ni wazi kabisa kwamba mfumo wa kuongoza na kuendesha Serikali hii ya Awamu ya sita hauna tofauti sana na ule uliopita kwani Kuna Mambo Bado ayaja badilika hadii hivi.

Sasa licha ya hotuba yake juzi tar22 mwezi April bungeni mjini dodoma kutoa mweleke wa serikali hii ya Awamu ya sita lakini Kuna vitu Bado havijabadilika kabisa hususani masuala ya demokrasia kwa ujumla na uhuru wa raia wa kupata na kupokea habari.

Iko haja Sasa viongozi waliopewa dhamana kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo mzima wa Serikali na kubadilisha baadhi ya mambo ambayo kimsingi ilionekana kuminya uhuru wa raia waa miaka mitano iliyopita.
 
Back
Top Bottom