Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tatizo moja tu ambalo Hayati Magufuli alikuwa nalo ni kupenda chama chake cha siasa CCM kuliko nchi ya Tanzania. Hii ilisababisha sana yeye kuangalia maslahi ya chama bila kujali maafa yake kwa...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Kama Wazenji hapa wapo au humu wamo napenda wanifikishie Raisi wa Zanzibar Dr. Husein Bin Ali Bin Husein el Mwinyi ya kuwa sasa ni aibu kwa matunda ya Zanzibar, ulitafunalo lina ndudu aka funza...
2 Reactions
2 Replies
975 Views
Natoa ombi kwa mheshimiwa Rais ajiepushe kutoa mbele ya umma maagizo ambayo yataufanya umma ufuatilie mwisho wa maagizo hayo ilikuwaje. Mfano kitendo cha kusema CAG asimumunye maneno,aseme kila...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kelele ni nyingi kuwa watu wanakwepa kulipa kodi, elimu itolewe kwa walipa kodi au adhabu iongezwe lakini tatizo la msingi lina kwepwa. Shule hazina waalimu, wanafunzi wanakaa chini, miji ni...
32 Reactions
91 Replies
6K Views
Waziri mhagama amewaka kisa wageni kucheleweshewa vibali vya kazi, ni vyema akatueleza ni wageni wapi? wanafanya kampuni gani? ujuzi wao ukoje? sisi tumeshindwa hata kufunga gear box za udart...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Habari wanaJF, Hoja: Ni either tumekuwa taifa la WANAFIKI zaidi au TUMEPOTEZA DIRA kabisa. Mh Rais hajarekebisha chochote. Nimekuwa nikifuatilia mijadala hasa ktk mitandao ya wanajamii (Twitter...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam Mama Umeanza vizuri sana Mama. Naomba nisikuchoshe . Sasa Mama ukitaka kutupatia kabisa, kabisakabisa, fanya jambo Mei Mosi ijayo kwa Asilimia yoyote tu ile. Hapo utakua umeua kabisa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha...
3 Reactions
97 Replies
7K Views
Makamu wa kwanza wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amewataka wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili kutoa fursa kwa serikali kupambana katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Menejimenti na watumishi wote wanaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Hussein Mwinyi na Watanzania wote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Moja ya nyimbo kali zilizovuma zinazoongelea Muungano ni Wimbo maarufu wa Nguli wa Muziki Mzee Makasi. Wimbo huu unakumbusha vizuri sana tarehe ya Muungano hivyo ningetamani kuona CCM wanakuwa na...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, amewataka wahandisi wa maji wilayani humo kuendelea kusimamia miradi ya maji kulingana na thamani ya fedha zilizotolewa na au kuikamilisha miradi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Wote tumesikia karuhusu na kiukweli kalazimisha watu waikosoe serikali. Tumeshaona wabunge tena wa CCM wakiwa mbele kuikosoa serikali. Hawa watataka wawazidi CHADEMA na wenzao katika kuikosoa...
1 Reactions
6 Replies
797 Views
Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe...
9 Reactions
194 Replies
21K Views
Jenerali Ulimwengu KATIKA makala ya wiki jana nilieleza kwamba ‘wanasiasa' waliomo ndani ya chama-tawala hawafanyi siasa bali wanafanya mambo mengine kabisa. Nimeweka neno hili...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa. Kipindi taifa letu linapambana na...
5 Reactions
127 Replies
9K Views
Legacy kubwa duniani zinazowekwa na viongozi katika mataifa yaliyoamua kuchukua njia ya kidemokrasia ni jinsi walivyobadili kwa njia chanya namna wananchi waliowatawala walivyoweza kujiletea...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Naamini kwamba ndani ya CCM kuna wengi wenye sifa za kuwa watendaji wa CCM kutokana na uwezo wao, uzoefu wao wa kisiasa na utendaji. Kwa kuwa Rais wetu anapenda kufanya kazi na wenye sifa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura. Nilishangaa sana kumsikia...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Back
Top Bottom