Hayati Magufuli ameisaidia CHADEMA kuwajua wasaliti wa chama

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
543
1,000
Kwanza nitoe pole kwa Familia ndugu na Watanzania wote kwa Kifo cha Hayati Magufuli.

Kama kichwa cha habari nichukue nafasi kuwashukuru sana Viongozi wa CHADEMA kwa Jinsi Walivyosimama imara dhidi ya Utawala Usio wa Kidemokrasia wa Hayati ambaye alikuwa na dhamira ya Dhati kutoka Moyoni ya kuhakikisha CHADEMA inakufa Lakini Ameshindwa.

CHADEMA imepata misukosuko mingi sana kuliko Chama chochote cha Upinzani katika Utawala wa Magufuli na Watanzania ni Mashahidi ikiwemo ya Vifo, Kufungwa, kutekwa, kusingiziwa kesi Kupigwa risasi kupotea kwa Wanachama na Wafuasi wake kulipishwa mafaini ya ajabu, kupokonywa Ubunge udiwani Umeya n.k vyote hivyo kwa Uonevu.

Wakati yanatokea na kutendeka Kuna Viongozi Wabunge Madiwani na Wanachama wa CHADEMA walionunuliwa au kuhaidiwa na kupewa Vyeo na wakaondoka na wakaikimbia CHADEMA na Kuisaliti.

Kama haitoshi kuna Kundi la Watu 19 limediriki mpaka Kugushi saini ya Katibu Mkuu ili liweze kuteuliwa Ubunge Viti Maalum na CHADEMA kimewafukuza Uanachama lakini Hayati aliendelewa kuwalinda Bungeni huo nao ni Usaliti ndio maana nampongeza Hayati kwani Watanzania hasa CHADEMA wasingejua kule ndani ya CHADEMA kuna Wasaliti ambao iliwaamini na kuwapa Madaraka na Heshima kubwa.Wasaliti hao wapo waliofanikiwa kupata walichoahidiwa na wapo waliokosa baada ya Magufuli kufa.
 
Ryaro ryaro

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
215
1,000
Nasalia plus Lijua-kali Daaaah!! walikosea timing While Watarara, Kitambi,Gikulia, na yule wa tamisemi they played well their cards. Waliobaki ndio basi tena maana Mama Hana Mpango huo Kwani Hata ndani ya Chama Chake wapo Wanachama Wazuri tu Kumsaidia Kazi. Tunashauliwa tusiwekeze kwa Mwanadamu maana ya Mungu Mengi...
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
3,922
2,000
Kwanza unatakiwa kujua vile viti 19 ni vya wanawake, na unapaswa kujua swala la viti maalum ni swala la kisheria

So wanawake wa chadema wametii sheria na sio wametaka kususia kama hao viongozi wao ambao wanataka watu wasusie then wenyewe wanaenda kuishi Ulaya nyie mnabakia kupiga kelele tu hapa jf
 
Well said
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
791
1,000
Kwanza nitoe pole kwa Familia ndugu na Watanzania wote kwa Kifo cha Hayati.

Kama kichwa cha habari nichukue nafasi kuwashukuru sana Viongozi wa CHADEMA kwa Jinsi Walivyosimama imara dhidi ya Utawala Usio wa Kidemokrasia wa Hayati ambaye alikuwa na dhamira ya Dhati kutoka Moyoni ya kuhakikisha CHADEMA inakufa Lakini Ameshindwa.

CHADEMA imepata misukosuko mingi sana kuliko Chama chochote cha Upinzani katika Utawala wa Magufuli na Watanzania ni Mashahidi ikiwemo ya Vifo, Kufungwa, kutekwa, kusingiziwa kesi Kupigwa risasi kupotea kwa Wanachama na Wafuasi wake kulipishwa mafaini ya ajabu, kupokonywa Ubunge udiwani Umeya n.k vyote hivyo kwa Uonevu.

Wakati yanatokea na kutendeka Kuna Viongozi Wabunge Madiwani na Wanachama wa CHADEMA walionunuliwa au kuhaidiwa na kupewa Vyeo na wakaondoka na wakaikimbia CHADEMA na Kuisaliti.

Kama haitoshi kuna Kundi la Watu 19 limediriki mpaka Kugushi saini ya Katibu Mkuu ili liweze kuteuliwa Ubunge Viti Maalum na CHADEMA kimewafukuza Uanachama lakini Hayati aliendelewa kuwalinda Bungeni huo nao ni Usaliti ndio maana Nampongeza Hayati kwani Watanzania hasa CHADEMA wasingejua kule ndani ya CHADEMA kuna Wasaliti ambao iliwaamini na kuwapa Madaraka na Heshima kubwa.Wasaliti hao wapo waliofanikiwa kupata walichoahidiwa na wapo waliokosa baada ya Magufuli kufa.
Bado mna maluweluwe tu?
 
Taarifasahihi

Senior Member
May 24, 2019
153
250
Mkuu, marehemu ni kabla hajazikwa na akizikwa ni hayati. Kama kuna kamusi nyingine tuhabarishane
Nadhani hakuna tofauti hapo. Ni jinsi tu ya mtazamo. Ilivyozoeleka akifa mtu maarufu/kiongozi, watu hupenda kumuita Hayati. Lakini kwa wale wa kawaida kama mimi na wewe huitwa Marehemu. Ndiyo tofauti ninayoijua mimi.
 
pilipili--mbuzi

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
1,431
2,000
Kwanza unatakiwa kujua vile viti 19 ni vya wanawake, na unapaswa kujua swala la viti maalum ni swala la kisheria

So wanawake wa chadema wametii sheria na sio wametaka kususia kama hao viongozi wao ambao wanataka watu wasusie then wenyewe wanaenda kuishi Ulaya nyie mnabakia kupiga kelele tu hapa jf
Una matatizo ya ubongo,si bure.
 
  • Love
Reactions: BAK

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
3,922
2,000
Una matatizo ya ubongo,si bure.

Ww ndio una shida ya kupumua
Unaongea vitu ambavyo ujui

Hao covid-19 unaowapigia kelele wamekata rufaa kwenye kamati kuu sasa jiulize mbona kamati kuu mpaka leo hawajakaa?

Na kwenye kamati kuu wenyewe wanavutana kuhusu hao covid,

Kama ww kweli ni shabiki wa chadema mbona una acha office inafungwa kisa hakuna pesa ya kulipa wafanyakazi?
 
santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,931
2,000
Kwanza unatakiwa kujua vile viti 19 ni vya wanawake, na unapaswa kujua swala la viti maalum ni swala la kisheria

So wanawake wa chadema wametii sheria na sio wametaka kususia kama hao viongozi wao ambao wanataka watu wasusie then wenyewe wanaenda kuishi Ulaya nyie mnabakia kupiga kelele tu hapa jf
Kwanini wasingetii hiyo sheria kupitia ccm?! Kwani ni lazima kuwa CHADEMA, na kuiwakilisha?! CHADEMA haiwataki kwanini mnawang’ang’nganizia wawe huko? Lengo la mwendazake lilijulikana, alitaka CHADEMA ife, na ndo mada ya mtoa hoja, sasa fadhila za nini?!
 
gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,989
2,000
🤣🤣🤣 ila ajira ya bungeni tamu sana mtu yupo radhi kusaliti msimamo wa chama aende kwenye ujira.

Wakifika bungeni sasa wanyonge mjiajiri serikali haiwezi kuajiri watu wote.
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
3,922
2,000
Kwanini wasingetii hiyo sheria kupitia ccm?! Kwani ni lazima kuwa CHADEMA, na kuiwakilisha?! CHADEMA haiwataki kwanini mnawang’ang’nganizia wawe huko? Lengo la mwendazake lilijulikana, alitaka CHADEMA ife, na ndo mada ya mtoa hoja, sasa fadhila za nini?!

Kwani kura zao nyingi za ubunge walipata wakiwa ccm? Acha ushabiki maandazi

Nyie mlisusa sasa makelele ya nn?

Nyie hamtambui serikali sasa mbona kila siku ni watu wa matamko?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom