Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi kuhusu ndege? Tayari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.
Sasa vipi kuhusu ndege? Tayari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.