Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika. Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikijadiliana na wazee wa chama Tawala wenye ushawishi ndani ya chama na serikali kuhusu hatma ya chama nadhtushwa na mawazo yao japo yapo sahihi. Wanasema kisiasa endapo Rais na Mwenyekiti wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini. Ndugai alisema hayo jana wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis...
41 Reactions
112 Replies
11K Views
Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani. Chadema nao wakafanya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Zanzibar tuliaminishwa watu awapigi mpunga ila nimefuatilia madudu yanayoibuliwa na Rais aliyepo nikabaini binadamu hasa waliosoma wanatumia vyema taaluma zao kufanya ubadhirifu kuliko kuwatumikia...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
KINACHOMTESA MEYA JUMA RAIBU NI KAZI ZAKE Anaandika Mwinjilisti Mathayo Chamshama Trending news ya sasa katika siasa za kaskazini ni Juu ya kinachoitwa "Uchotwaji wa Milioni 150 za Benki ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya watu wanaounda au kujiunga na vyama vya siasa Tanzania, hawafanyi hivyo kwa sababu ya itikadi, falsafa na sera bali ili kutafuta fursa, mengine ni yatokanayo. Wengi...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Poleni kwa mahangaiko ya dunia hii ndugu zangu. Poleni wahanga wenzangu mliopitiwa na wezi. Ushauri kwa serikali: Kuna haja ya kuona namna ya kuweka mazingira wezeshi kwa wazee wa mila kuanzisha...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro imefanikiwa kumtapisha shilingi milioni mia moja na hamsini (150,000,000) Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu alizokwapua kifisadi kutoka Benki ya ushirika...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuendelea kushupaza shingo kuwa hakuna makosa yaliyofanyika juu ya uvunjifu wa haki za binadamu hapa nchini kwetu ni kupoteza muda. Maana ni kutaka kujenga taswira isiyofaa kuwa mauaji, ukatili na...
8 Reactions
76 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi wana JF! Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha...
12 Reactions
84 Replies
6K Views
Salaam, Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye amefunguka ya maoni. Kasema Kuna upungufu wa Sheria za Uchaguzi kwenye Local Government. Vigezo vinavyotumika kuwaweka watu Pingamizi na kuwaondoa, ni...
21 Reactions
147 Replies
13K Views
Ndugu wana JF kupitia jukwaa la siasa, nawasalimu Kwa jina la Demokrasia jibuni 'kwa pamoja tuipiganie' Ndugu wana JF, Naomba nianze kwa kunukuu maneno machache toka katika katiba ya JMT (1977)...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,... Katika malezi tuliambiwa mkubwa hakosei japo Kuna wakati makosa yanaonekana dhahiri Mzazi akikukosea hata iweje atabaki kuwa mzazi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
UZINDUZI WA KAMPENI YA BORESHA VYA KALE JIMBO LA TEMEKE. LEO Tarehe 24/04/2021. Mhe.Dorothy Kilave.Mbunge wa Jimbo la Temeke,Amezindua Kampeni ya Boresha Vya Kale Kampeni,Maalumu kwaajili ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Namfuatilia muda huu naibu spika wa Bunge kupitia kipindi cha 360 cha clouds Tv. Baadhi ya maneno muhimi aliyoyaongea leo 1. Mbunge akinadi sera zake lazima awe amesoma ilani ya chama chake ili...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12 Mnyika...
10 Reactions
44 Replies
5K Views
Katika mambo yanakera moja wapo ni ili la Tundu Lissu kutaka kuhakikishiwa ulinzi ilihali ni mtu mwenye makosa mengi Tundu Lissu analia mitandaon kuwa ameshutumiwa kwa mambo mengi hivyo anaiomba...
15 Reactions
100 Replies
8K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana taarifa kuwa kimekuwa kikipokea ruzuku ya mamilioni ya shilingi kutoka serikalini, tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa...
24 Reactions
60 Replies
8K Views
Back
Top Bottom