Wakati Lazaro Nyalandu anahama chama chake cha CCM kwenda CHADEMA alijdhihirisha kama mmoja wa watu wenye uelewa mkubwa na mpana wa namna mihimili ya serikali yetu inavyoingiliana na kutatiza nchi...
Kuna kila sababu ya kuamini kwamba demokrasia ya utawala wa chama kimoja katikati ya vyama vingi vya upinzani inafanya vizuri na kwa ufanisi zaidi Africa kuliko ile demokrasia ya vyama vingi vya...
Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe...
Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa...
Mbunge Jesca David Kishoa amehoji kwanini Mikataba haiwekwi wazi akisema kufanya hivyo kuna faida mbalimbali ikiwemo kujenga uaminifu kati ya Wananchi na Serikali.
Amesema hayo Bungeni Dodoma na...
Habari,
Nimekuwa nikitoa tahadhari ya kuja kuwa na mtafaruku ndani ya nchi na ikiwezekana vita vya ndani. Kwa sasa kumetamalaki kwa uvunjivu wa katiba yet hasahasa kwa viongozi wetu wa juu pamoja...
Ni kitambo kidogo sijalonga na hawa washikaji zangu ‘makamanda’.
Lakini leo nadhani ni siku muafaka ya kulonga nao.
Sasa nyie makamanda, tokea Rais Samia ameshika hatamu za uongozi, nyie ndo...
Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo.
1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani...
Chadema ni watu ambao hawako makini, si Mara ya kwanza ni Mara nyingi tu wamekuwa wakikimbiwa na viongozi wao.
Excuse kipindi cha jk ilikuwa ni "hao wanafata maslahi"
Kipindi Cha JPM ikawa "hao...
Wilaya ya Kinondoni kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kama tanuri la kupika viongozi kwenye ngazi za juu zaidi
Kumbukumbu zangu za karibuni zinanikumbusha wafuatao
1. Mama Ritta Mlaki, alikuwa...
Udugu hazina kubwa.
Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini.
Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
nimemfuatilia mwanasiasa huyu kijana nikaona anafaa sana kwenye nafasi yake mpya.
Alipambania chama kipindi akiwa UVCCM.
Alitulia kipindi alipopewa nafasi mpya.
anajua kujieleza na anajua...
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye...
Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi.
Utezi wa Dkt. Bashiru na...
Habari za Jumapili wakuu,
Katika hali isiyoshangaza kabisa ya mwana kurejea nyumbani (CCM) ikiwa inaendelea kwa sababu tu za kuunga juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli, napenda kutoa rai na...
Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya...
Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho.
Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema...
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi(mei mosi), walimu tunakuomba mheshimiwa Rais uunde tume ya elimu kukichunguza chama cha walimu (CWT) kwakuwa...
Mbunge akiteuliwa na Rais anapoingia Bungeni anakabidhiwa gari yakutembelea V8 au anajitaftia gari analiona litampendeza kulingana na shida au utajiri wake?
Nauliza swali ili kulinganisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.