Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo.
1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali.
2. Epuka kutumia approach za mtangulizi wako kaka yangu Bashiru, watu wapate madaraka na nafasi kulingana na uwezo nakukubalika kwao. Ukiendekeza utaratibu wa Katibu na Mwenyekiti ndio wanaoteua na wenye final say itakuwa vigumu kudumu kwenye nafasi hiyo. Kama ulivyopata nafasi ruhusu na wengine wapambane wapate isipokuwa wapambane kwa haki.
3. Siasa zimekufa nchi hii, hakuna kiongozi wa CCM ambaye Leo hii anafanya siasa za majukwaani na hata zakijamii, CCM imepoa. Kukuthibitishia ilo angalia ni watu wangapi wanajadili kilitokea dodoma leo. Watu wamekata tamaa, rejesha hari ya siasa nchini ili matatizo ya wananchi yaweze kuibuliwa.
4. Usiruhusu kukua kwa mfumo wa Rushwa ulioasisiwa na awamu ya tatu na nne.Ruhusu nguvu ya hoja na si nguvu ya koo au fedha.
5. Jiweke nafasi yakuhudumia Watanzania na si wanaccm, mahitaji ya wannchi yanaweka ccm madarakani lakini mahitaji binafsi ya wanna CCM yanakitenganisha chama na wananchi.
6. Kubali kukosolewa uweze kujipima na kuvuka vikwazo
7. Punguza makundi kwa sababu ujaingia hapo kwa makundi Wala kupiga kampeni, wote wawe wako.
8. Push agenda ya Katiba mpya.
Nikutakie kila la kheri katika Utumishi wako huku nikitegemea Mwanamke mwenzetu aliyekuamini automwangusha. Msaidie asiwe na kazi kubwa za chama bali awe na kazi nyingi za wananchi huku 2025 atakapopimwa na wananchi Basi waseme mitano tena kwa dada yetu, mama yetu na mdogo wetu.