Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi.
Utezi wa Dkt. Bashiru na Hamphrey Polepole katika kukiongoza Chama cha Mapinduzi ulirejesha matumaini mapya kwa watanzania kupitia chama hicho tawala.
Utatu wa Dkt. Magufuli, Dkt. Bashiru na Dkt (Katika Mchakato) Polepole uliashiria mabadiliko ya dhati na kukirejesha chama mikononi mwa wananchi.
Mmepitia mengi, mmeona mengi katika utumishi wenu kwenye Chama, mkiyaandika yatakisaidia chama, vyama vingine, Watanzania na Taifa kwa ujumla. Mifano IPO dhahiri kwamba:
Viongozi wa chama katika ngazi zote waliwajibika kwa wananchi na wanachama wa kawaida ili kuwaletea maendeleo.
Utatu huu, ulirejesha nguvu ya mabalozi katika vikao vya maamuzi na nidhamu ya chama ilirejea.
Uongozi katika chama au kuomba ridhaa ya chama haikukuwa tena nguvu ya pesa au unasaba kwa viongozi bali uzalendo, uwajibikaji na utumishi uliotukuka.
Mapato ya chama yalifanyika katika kukiendeleza chama badala ya watu binafsi kuhodhi Mali na miradi ya chama
Mvuto wa chama kwa wananchi uliingezeka hadi wanachama wakaona fahari kuvaa sare za chama hadhani tofauti na kipindi cha 2010-2015 ambapo sare za CCM zilivaliwa kwa uoga, hofu na kificho.
Popote Mwenyekiti, Katibu na Katibu wa Itikati walipokiongelea Chama, walihubiri Umoja, Mshikamano, Uzalendo na Uwajibikaji.
Kazi mliyoifanya katika Chama ni kubwa, ngumu na yenye manufaa kwa Chama, Taifa na Watanzania kwa Ujumla.
Uwajibikaji, Uzalendo na Uchapakazi wenu ulikuwa chukizo kwa wana CCM na watanzania wanaokitumia chama kwa maslahi binafsi
Ni dhahiri kwamba, Kinga yenu ilikuwa ni Mwenyekiti vinginevyo msingeweza kufanikisha mliyokifanyia chama na Taifa.
Hongereni sana kwa kuweka Historia kwa uwajibikaji wenu, ikiwapendeza Mtuandikie Kitabu kwa pamoja, kiwe zawadi na kumbukumbu kwa Chama, wananchi na Taifa vizazi na vizazi.
Ahsanteni kwa Utumishi wenu kwenye Chama, Kazi yenu tumeiona na tumeikubali.